The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
- Thread starter
- #21
Wewe ndio umeanza kunipa somo sasa.
Wapi Pascla Mayala, maana yeye hupenda sana kuandika " hakuna upinzani wa kweli"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi Pascla Mayala, maana yeye hupenda sana kuandika " hakuna upinzani wa kweli"
Upinzani wa kweli upo,utaendelea kuwepo.
1.CUF ya Maalim Seif alivyoweza kumdhibiti Commando Amour.kwa kumshinda bila kificho katika uchaguzi mkuu japo CCM ilinyakuwa madaraka kwa nguvu.
2.Mchungaji Mtikila alivyoiburuza serikali kwenye mahakama na kuishinda mara nyingi kwenye maswala ya katiba.
3.Profesa Mbilinyi alivyotema uwaziri wa fedha baada ya vyama vya upinzani kugunduwa na kuanika madudu katika vibali vya kuangiza mafuta ya kula.
4.Waziri Iddi Simba Alivyofukuzwa uwaziri wa Viwanda baada ya vyama vya upinzani kugundua kashfa katika uagizaji wa sukari.
5.EPA
6.ESCROW
Tuseme tu katika upinzani kuna misuguano kama huko CCM.
Jenerali Ulimwengu aliposema katika hatua ya kujenga demokrasia tumerudi nyuma miaka 50,wa kulaumiwa sio upinzani bali Magufuli anaezika upinzani bila aibu wala sababu.
Sent using Jamii Forums mobile app