Nchi haiendeshwi na mitandao ya kijamii!!-Salva Rweyemamu

Hivi ni kweli Rweyemamu anaamini maisha ya mtanzania yanakua mazuri kila kukicha, kama serikali inaamini ivo kupitia kwa msemaji wake basi watanzania tuelewe ya kuwa serikali yetu haifanyi chochote kututoa katika wimbi hili zito la umasikini
 
Crystal clear! nchi haiwezi kamwe kuongozwa na mitandao na magazeti.

Viongozi wa nchi tunawachagua sisi ili watutumikie, waendeleze nchi na wananchi wake ambao ndo sisi tuliowachagua. Sehemu za sisi wananchi kusema yanayotukera kuhusu viongozi na uongozi wao ni kwenye media ambazo ndo kama hizo (magazeti, mitandao ya jamii, redio, television n.k.), sasa nyie mnaesema nchi haiongozwi kwa mitandao n.k. mna maana gani? Viongozi wowote makini inabidi wafuatilie media hizo nilizotaja kujua wananchi wana yapi ya kusema kuhusu uongozi wao ili kama wako wrong wajirekebishe lakini kukimbia media ni kujidanganya. Acheni kuwapamba na kuwapa kichwa mkidhani mnawatetea kumbe mnawapalia makaa ya chuki kwa wananchi.
 
Hivi serikali ikichukua cues zake toka humu JF wewe utaiona hiyo ni serikali ya maana kweli?
 
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia nzima!na wale wanaopiga kelele kila siku juu ya mabdadiliko ya baraza la mawaziri sio kazi yao,na pindi rais atakapoona inafaa kufanya hivyo atafanya hivyo.Na magazeti yaache kutabili mambo kwani hata kwenye makubaliano yaliofikiwa kwenye mgogoro wa madaktari,ni baina ya serikali na ma dr,wala sio na magazeti.Na maisha ya mtanzania yanaboreka kila uchao!!kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa jamani.

Kama nchi haiendeshwi kwa mitandao Jakaya kwanini ana facebook page? Watu wanapoandika magazetini kwani maana yake kuwa nchi inaendeshwa kwa magazeti? Remember that social networks perform the same function as newspapers but using an advanced and different technology!
 
true! Nchi haiwezi kuongozwa na blogs, ila MABADILIKO yanaweza kuwezeshwa na blogs. PLAY YOUR PART.
 
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia nzima!na wale wanaopiga kelele kila siku juu ya mabdadiliko ya baraza la mawaziri sio kazi yao,na pindi rais atakapoona inafaa kufanya hivyo atafanya hivyo.Na magazeti yaache kutabili mambo kwani hata kwenye makubaliano yaliofikiwa kwenye mgogoro wa madaktari,ni baina ya serikali na ma dr,wala sio na magazeti.Na maisha ya mtanzania yanaboreka kila uchao!!kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa jamani.

Serikali za Egypt, Tunisia...ziliangushwa kwa nguvu ya mitandao ya kijamii, Huyu mzee kilaza kweli hajui kwamba Social Media ndo Media zenye Nguvu kubwa kwa sasa, anyway it seems Jk gvt na vibaraka wake hawajui lolote lile zaidi ya kushinda wanapumulia viti na masaburi yao tu
 
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia nzima!na wale wanaopiga kelele kila siku juu ya mabdadiliko ya baraza la mawaziri sio kazi yao,na pindi rais atakapoona inafaa kufanya hivyo atafanya hivyo.Na magazeti yaache kutabili mambo kwani hata kwenye makubaliano yaliofikiwa kwenye mgogoro wa madaktari,ni baina ya serikali na ma dr,wala sio na magazeti.Na maisha ya mtanzania yanaboreka kila uchao!!kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa jamani.

Mitandao ya kijamii imeingiaje hapo?au nimeruka mstari?ngoja nirudie tena! Nakuja
 
Kumbe watu humu mnajifanya hamuipendi wala hamuskilizi clouds fm wakati mnaskiliza..

Ikiletwa thread ya kuponda clouds mnaisupport na kuiita radio ya wafu..kama haitoshi wengi wenu mnajidai kuuliza kwa mshangao ati, “hivi,kuna watu bado wanaskiliza clouds na kibonde?“

Halafu leo hapa naona mnachangia kana kwamba huwa hamkikosi kipindi cha kibonde! Huu tuuiteje,unafki?Ama preaching water and drinking wine?
 
Mimi binafsi sisikilizi Jahazi. Naujua msimamo wao. Bora niwe tovutini. Sitakosa lolote. Hawako serious!
 
Bado hawajatambua kwamba NCHI INAENDESHWA NA MITANDAO YA JAMII! Jamii Forums (zamani Jambo Forums) ndio imetuletea kashfa za Richmond, Buzwagi, Meremeta, Dowans, n.k.! BADO HAWAAMINI?
 
Ni kweli. Nchi ikianza kuendeshwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ni hatari sana.

So Salva was right on point.
malizia kabisa kuwa "nchi ni salama ikiongozwa na wafanyabiashara wakubwa kama RA aliyemuingiza salva Ikulu"
 
Unamuona Rweyependekeza mzima siyo? Kale kamdudu kanamsumbua siku nyingi na nguvu ya ARVs si ya kudumu. Mwamkumbuka Nkurlu aliyemtangulia siyo? Rweyemamu shupid sana utashomile vizuri.
 
Nchi iko shwari wakati maisha yanazidi kuw amagumu
Mfumoko wa bei ni tatizo la dunia kwani jamaa amekuwa gavana wa benki kuu anatupa taarifa hizo
Imani kwa rais amefanya research wapi kutupa data kuwa imani kwa rais wa nchi inazidi kupanda
maisha ya mtanzania yanazidi kuboreka kwa kipi kwa kutojua kesho anakula nini ndo maisha yanaboreka
Ahhh majibu mepesi kwa maswali magumu
Ndugu yangu yeye kwake ni shwari kwasababu ni house boy wa ikulu. angekuwa anashinda na ss kwenye vibanda vya mihogo angelijua hilo. hebu tujadili tutawezaje kujikwamua na ugumu wa maisha tuachane na huyu house boy wa ikulu.
 
Salva anasifia suti ya mfalme ilivyo nzuri wakati kila mtu anaona mfalme yuko uchi.

Hizi njaa tabu sana.

Of course Salva asingekaa upande wa wananchi katika mjadala huo ilhali yeye ni mfaidika wa keki ya Ikulu. Lazima adanganye umma kwamba maisha yanazidi kuboreka kila siku, ilhali ni kinyume chake.
 
Back
Top Bottom