- Thread starter
- #41
Yaha ndiyo matokea ya kufikiri kwa kutumia macho kujua maana ya kitu mpk utafute kamusi!
Yaha ndiyo matokea ya kufikiri kwa kutumia macho kujua maana ya kitu mpk utafute kamusi!
Majibu ya wadau yamekutosha au bado??Yaha ndiyo matokea ya kufikiri kwa kutumia macho kujua maana ya kitu mpk utafute kamusi!
Wewe hata maana ya jina "Afrika" huijuwi.Kusoma beyond ulichosoma wewe unaehisi Afrika ni mipaka!
Uko sawa na ukiweka demokrasia kwa kiwango kikubwa na ujinga wa wananchi ndio Tutakua Duni zaidi.Waafrika sijui mkoje yani kutwa mnajadili nafasi za uongozi tu kana kwamba kubadilisha viongozi ndio maendeleo hivi mnafikiri wenzetu. wameendelea kwa sababu ya kubadilisha viongozi? Tuache kuficha ujinga wetu kwa kutupia lawama et waafrika matatizo yetu viongozi wetu sijui hakuna demokrasia.
Wanasahau viongozi hawatoki Jupiter au Mars...ni miongoni mwetu.Waafrika sijui mkoje yani kutwa mnajadili nafasi za uongozi tu kana kwamba kubadilisha viongozi ndio maendeleo hivi mnafikiri wenzetu. wameendelea kwa sababu ya kubadilisha viongozi? Tuache kuficha ujinga wetu kwa kutupia lawama et waafrika matatizo yetu viongozi wetu sijui hakuna demokrasia.
Hapana ni kumpenda tu mtu au kiongozi ndo kinasababisha akae sana madarakani. Kwa mfano Chadema kuna wanachama wengi sana lakini wote hawawezi kuongoza kama Mbowe ndo maana tunataka arudi tena kwenye uwenyekiti. Kwani huo ni udikiteta? Uchaguzi unafanyika lakini bado kipenzi cha watu.Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!!
Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais aongezewe muda ni ubinafsi ambao matokeo yake ni udikiteta!
Kikwanzo kikubwa sana cha maendeleo Afrika ni ubinafsi (udikiteta) sio mabeberu. Hivi nchi yenye raia zaidi ya 50 m unawezaje kufikiri wewe ni bora zaidi kuliko wengine wote. Wazo kama hilo ni ubinafsi ambao huzaa udikiteta.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Labda maendeleo ya maghorofa katikati ya mji chigali
Waafrika sijui mkoje yani kutwa mnajadili nafasi za uongozi tu kana kwamba kubadilisha viongozi ndio maendeleo hivi mnafikiri wenzetu. wameendelea kwa sababu ya kubadilisha viongozi? Tuache kuficha ujinga wetu kwa kutupia lawama et waafrika matatizo yetu viongozi wetu sijui hakuna demokrasia.
Haipo na haitakuwepo? zinazidi kuwa maskini tu, Angalia Magu tua anakotupeleka ndio kwamza ana ndoto za kututawala miaka 20.Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!!
Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais aongezewe muda ni ubinafsi ambao matokeo yake ni udikiteta!
Kikwanzo kikubwa sana cha maendeleo Afrika ni ubinafsi (udikiteta) sio mabeberu. Hivi nchi yenye raia zaidi ya 50 m unawezaje kufikiri wewe ni bora zaidi kuliko wengine wote. Wazo kama hilo ni ubinafsi ambao huzaa udikiteta.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
LibyaIko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!!
Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais aongezewe muda ni ubinafsi ambao matokeo yake ni udikiteta!
Kikwanzo kikubwa sana cha maendeleo Afrika ni ubinafsi (udikiteta) sio mabeberu. Hivi nchi yenye raia zaidi ya 50 m unawezaje kufikiri wewe ni bora zaidi kuliko wengine wote. Wazo kama hilo ni ubinafsi ambao huzaa udikiteta.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Yaweke wazi au unauogopa mzimu wakeFuatilia historia ya hizo nchi kumbuka hizo nchi zipo Africa kilamani tu na ikumbukwe Gaddafi aligoma kujiunga na nchi za kiarabu kwakua alikua na malengo yake binafsi, je unayajua?
Maendeleo ni nini?
Siungi mkono hoja ya kuongeza muda lakini sikubaliani na wazo kwamba hapo ikulu anachofanya ni uchafu.NAONA KUNA RAIS FLANI ANAJITAHIDI KUJIPANGA KUTAWALA MILELE ANAONA KUMI HAIMTOSHI NA HIYO 20 ANAYOTAKA IKIISHA ATATAKA 30 MINGINE KWANI ATAKUWA MWOGA KUKAA NJE YA IKULU KULINGANA NA UCHAFU ANAOUFANYA NA ULE ATAKAOUFANYA NAONA BAADHI YA WAFUASI WA CHAMA CHAKE WANAKENUA TU HAWAONGEI CHOCHOTE WASIJIDANGANYE KWAMBA JAMAA AKIFANIIWA KUTAWALA HIYO MIAKA KWAMBA WAO WATAKUWA SALAMA LA HASHA HUU UPINZANI UNAODHARAULIWA NDIYO KITAKUWA KIVULI CHA WANAOUNGUA NAJUA NA UKITAKA UJUE NI KWAMBA HATA YEYE RAIS YUPO HAPO KWA 7BU YA UPINZANI
Hayo maendeleo aliondoka nayo kwa vile alijijenga yeye badala ya kujenga mfumo. Viongozi ni wa kupita tuu lakini mfumo imara utaimarisha utengemano wa nchi bila kujali nani yuko madarakani.