nchi gani inalipa kwa biashara ya kuuza magunia ya mahind | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nchi gani inalipa kwa biashara ya kuuza magunia ya mahind

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mrimba, Mar 22, 2012.

 1. m

  mrimba New Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani me nataka kuanza biashara kufanya biashara hiyo lakin naomba mniambie ni wap kuna soko zuri kwa hiyo bznec!ntashukuru mkinijibu
   
 2. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Upo mkoa gani mkuu? Upo ulipo gunia moja ni tshs ngapi?
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  - Mkuu biashara ya kutageti faida si biashara na ikiingia kwenye biashara kwa kutageti kupata faida hutaweza kukaaa muda mrefu,
  - Kuhusu biashara ya mahindi, nazani kuna thread nyingi sana zinazungumzia hii biashara na usahauri kibao umetolewa.

  - IMEFIKA WAKATI WA KUFANYA BAISHARA YENYE TIJA NA SI KUFANYA BIASHARA YA WAKATI WA KABLA YA INDUSTRY REVULUTION,

  - Mkuu ni kwa nini uuze mahindi na si unga? hivi unafikilia ukiuuza mahindi ni nana anakuwa amefaidi hapo? je ni wewe? je ni ukliye muuzia?

  -Jaribu kuplani hii biashara vizuri lakini utageti kwenye kuwa na kiwanda chako kidogo cha kusaga nafaka na kuzipark, hapo utakuwa unafanya biashara yenye tija, ila hii ya kununua mahindi na kuyauza kama yalivyo inahitaji utapeli fulani

  - ili ufanikiwe kuuza mahindi nin lazima wakati wa kununua uwanyonge wakulima,
  - Ni lazima uchanganye mahindi mazuri na mabovu
  ILA UKIWA UNAFANYA PROCESSING INAKUWA VIZURI KWA SABABU UNAKUWA NA PUMBA PAMOJA NA UNGA
   
Loading...