Nchi bado ina uozo mwingi. SUA nako walamba Bilioni moja bila maelezo

Si mnashabikia uwanja wa Chato? Sasa mnalialia nini hapa? Mnataka wenyewe wakale wapi? Huyu tutor aliyeleta hii habari atakuwa Mjita Hutu! Yaani maelezo yamejaa fitina!
 
Very correct!
SUA na UD vina watu ambao wamekuwa ni emperors. Wanadhani pesa ya chuo ni yao na wao ni chuo! Mobutu-style.

Kuna hali nisiyoielewa kwa Mh. Rais. Inaonekana kama anawapa heshima sana viongozi wa vyuo hivi! Hali ilivyo hawastahili kabisa kuheshimika. Kwa uzoefu wangu, kuna wengi wasiokuwa ktk uongozi ktk vyuo hivi ndo watu wema kabisa kuliko walioko kwenye uongozi. Uongozi wa vyuo vingi ulishakuwa ni uhuni tuuu!

Hapo SUA, nasikia mkuu wao hapiti njia moja na wafanyakazi wengine kuingia ofisini akiogopa kulogwa! Huyo akipeleke wapi chuo kikuu? he is just another hunter and gatherer:)
Imebidi nicheke...kurogwa?! kweli hunters and gatherers...au ndio mambo ya misitu...
 
Aliyeanzsha hio mahakama naye ukifuatilia sana unaweza ukamshitaki kwenye mahakama
 
Hivi karibuni kulikuwa na matangazo ya wizi wa pesa kupitia wanafunzi hewa wa vyuo vikuu. yaonekana hilo ni tone ktk tabia mbaya iliyoko vyuoni.

Maelezo yafuatayo, yametolewa kwenye mtandao wa chuo kikuu cha kilimo, SUA. Bahati mbaya kabisa wahusika ni wakuu wenyewe, sijui nani anapewa jukumu la kulinda mali ya umma chuoni.

Soma na kama kuna vyombo vinavyohusika fuatilieni ili nchi iende inavyotakiwa.

------------------------------------------------
Wale munaofuatilia yanayotokea hapa chuoni, munafahamu sekeseke linalotokea kwa sasa hadi watu wamepigiwa simu za vitisho ili waache kulizungumzia tatizo hilo. Kwa ujumla ni wizi mkubwa wa pesa za mradi wa NORAD uliokuwa kwenye ujenzi wa jengo la kitivo cha sayansi kule Mazimbu.

Takribani bilioni 1 imeliwa na watawala wetu. Jengo hili limekuwa likijengwa kwa miaka zaidi ya mitatu sasa. Ni jengo dogo lililopangwa liwe la gorofa tatu. Baada ya kupatikana pesa, likapunguzwa kuwa ni la gorofa mbili na mwishoni sasa limekuwa ni jengo la gorofa moja, lakini gharama yake imebaki kuwa ni ile ile!

Ni muendelezo wa miradi ya wizi pamoja na ile ya ujenzi wa kumbi mbili za mihadhara iliyochota zaidi ya bilioni 1.3, maktaba ya mazimbu iliyobomoka tangu siku ya kwanza, maabara ya zoolojia inayovuja hadi leo bila kutumika, chanzo pekee cha maji kilichotumia mabilioni wakati hadi leo watu wanakunywa tope, huku kukiwa na tenda feki za madawa kila mwaka, pia jengo la kilimo biashara ambalo leo hii limechakaa hata kabla ya miaka 4!

Pesa kama hizo kwa vyuo vingine linajengwa jengo kubwa na la maana sana.

Wakati Naibu katibu mkuu alipotembelea chuo hiki cha SUA, mwezi wa nne alielezwa ujenzi huo ulikuwa unaendelea vizuri na kufikia mwezi wa 6 jengo lingekamilika.

Leo hii Disemba jengo bado halijamalizika na pesa hazitoshi kwa kusingizia mabadiliko ya ujenzi ambayo hata hayastahili kutumia milioni 100, sasa chuo kinatafuta mabilioni kwa kisingizio kwamba ni kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa jengo hili. Huu ndio mgogoro tulionao sasa hivi hapa chuoni tunaomba wote wanaousikia, waelewe.

Yaonekana nguvu ya Mh. Magufuli haijasikika vizuri hapa chuoni maana kwa taarifa tulizonazo toka ndani ya idara ya uhasibu SUA, pesa za jengo hili, viongozi wetu wamezigawana na zimeliwa kwa pamoja. Bila aibu naomba niwataje kama nilivyosimuliwa kwamba wafuatao ndiyo wamegawana pesa hizo.

Ikiwezekana wajitokeze kueleza sababu ya kuleta vitisho kwa wale wanaouliza upotevu huo wa pesa:

1. Mkuu wa chuo (VC) Prof. Monela amebeba sehemu ya pesa hizo, mlinzi mkuu wa mali ya chuo asiyefanya kazi yake

2. Naibu makamu mkuu wa chuo taaluma (DVC acad), Prof Gillah kila dili kwake ni safi tu

3. Msarifu (Barsar), ndg. Raphael na staf yake hadi kwa cashier wetu hawa ni walinzi wasiotaka kulinda pesa

4. Ofisi ya ugavi ilipewa mgao wa jumla Yaani Zumo na watu wake ambao ni wazoefu ktk dili

5. Afisa mipango, Masawe na watu wake ambao ni wazoefu kwa dili kama hizi

6. Ukaguzi wa mahesabu kwa akina Mulyomi pamoja na watu wake walipitisha kuwa ni malipo halali

7. Kurugenzi ya utafiti, pale Muhikambele alipewa na watu wake na hata messenger alipata.

8. Mkuu wa kitivo cha sayansi. Prof. Mwangingo ambaye amejitafuna mwenyewe jengo lake

Kuna watu wengine wawili ambao wanaonekana kufahamu dili hili na wanafahamu jinsi gani pesa hizo zimeliwa.

Tuna wasiwasi kwamba hata wao walipewa mgao. Hao ni:
1. Prof. Ishengoma
2. Prof. Kulwijila

Wawili hawa ni wahusika ktk mradi huo na hakika wanastahili kufahamu pesa ilivyochotwa.

Ndugu zangu hawa ndiyo viongozi wa chuo chetu cha SUA tunaodhani wanaendeleza chuo. Tunapohangaika kuongeza mapato ya chuo tuelewe viongozi wanaongeza wizi pia.

Sasa hivi juhudi zinazofanywa ni kuzuia mambo haya yasiende nje ya chuo na bahati mbaya wanatumia vitisho vya simu na kuna sehemu wamesikika wakitafuta pesa za kuhonga wale wanaodhani wanaweza kulitoa nje ya chuo.

Sisi wanajumuiya ya chuo tunasemaje? Waalimu tunasukumwa kufundisha kwa nguvu bila hata motisha wakati wenzetu wakichota pesa na kujenga mahoteli yasiyolingana na kipato chao. Ombi langu kwa watu hawa, warudishe pesa za jengo hili kwa gharama yoyote ile hata kama ni kuuza hoteli wanazojenga.

Habari hizi tunazifikisha TAKURU tukiomba watusaidie kueleza jinsi gani pesa imepotea kwa kisingizio kwamba zilirudishwa kwa wafadhili. Maana jengo la gorofa moja haliwezi kuwa na thamani ya bilioni 3. Hatutakubali kuwalea wezi. Bahati mbaya kabisa hata wastaafu tunaohitaji uzoefu wao mzuri kumbe wao wamezoea mengine kabisaa!

Haya ni maelezo ya wazi kwenu wahusika. Jitokezeni mueleze kwa nini jengo halijaisha na kwa nini gorofa moja itumie zaidi ya bilioni mbili kwa kisingizio cha maabara.

Magereza watajenga nyumba kibao za kuishi kwa bilioni 10 tu za Mh. Rais!

dar nimesikitika sana kuona mzee wangu muhikambele naye anaingia kwenye top tena ya mali za umma ,
kwa kweli ukiangali mahekalu waliojenga hata hayafanani hata kidogo na hiyo mishahara yao
 
Haya maelezo ya mwisho yanakera sana juu ya tabia ya wajenzi. Rais ametoa bilioni 10 kwenda UD kwa ujenzi wa hosteli 20 za gorofa 4 kila moja. Iikimaanisha ni milioni 500 kwa kila jengo lenye gorofa 4. Inakuwaje hilo jengo lenu moja lijengwe kwa bilioni zaidi ya 2? Au ni kubwa kama makao ya Papa Francis?

Kuna mtu kanidokezea kwamba vyuo vimekuwa vikiiba kwa mtindo wa double payment. Donor anawapa pesa na wakati huo huo wanaomba pesa kwa donor mwingine au serikalini kwa ujenzi huo huo!!! Rubbish people!

Maprofesa wetu wanasomea wizi sasa kama mzee muhikambele lile ghorofa analojenga utasema ni mishahara upi huo wa kujenga hekalu kama lile
 
Wiki ijayo napita Morogoro. Nitaingia maeneo hayo nijionee vituko vya wasomi wa nchi hii. Si wamesoma?
Jitahidi uangalie na mazingira ili usaidies ushuhuda kwamba hiki ni chuo kikuu kinachoendelea
 
Mkuu Zithromax mbona umemkomalia sana mzee muhikmbele, unaangalia mishahara tu..

Mbona maprofu wengi wanafanya project nyingi za research...

Naona harufu ya chuki binafsi na naanza kupata wasiwasi na huu Uzi wako.

Report ya CAG imesema chuo kipo kisafi, wewe unakuja chafua watu huku JF.
 
Jamani! hiki ni Chuo au kambi ya wezi? Kwa nini PCCB hawachunguzi mambo kama haya? Au mpaka rais azungumzie mambo haya?
vyuoni ndio kuna ufisadi wa kufa mtu bt hatujawahi ona hatua zozote zikichukuliwa... Pale SUA jengo la Agribusiness lilianza kutengeneza nyufa kabla ya kukamilika.. nakumbuka kuna lecturer mmja aliingia class akalaum saana hio kitu
 
Wakuu! Heri ya mwaka mpya!
Mimi naona Ulaji ktk miradi ya ujenzi ya mashirika ya umma labda unalindwa na bodi za architects +Q surveyors, engineers na contractors. Lakini kinara ni Bodi ya Architects. Watu hawa ni kama wameunda fraternities za kujilinda katika ulaji na mapungufu yao, hasa huenda na kujihami ktk uwezo wao wa kusimamia secta hii ya construction na ufisadi kwa ujumla ambao ni duni. Ndio maana kuna viwango vya chini kwenye public projects nyingi kama majengo, madaraja, barabara nk. Kama kila mradi wa ujenzi nchini lazima upate kibali cha bodi, iweje kusiwe na ufuatiliaji wa miradi hadi pesa zinamalizika kabla ya ujenzi kukamilika? Ina maana bodi hizi zinapokea fees za vibali tu, bila ufuatiliaji? Hii issue ya Mzumbe ni moja kati ya miradi mingi ya ulaji aina hii.
Niliwahi kusema humu kwamba ili kuwa na uwazi ktk tenda za ujenzi serikali/bunge watunge sheria ya kiwango halali cha faida (profit) kwa mfano asilimia kati ya 100 hadi 400; ili watu wanaposhindana kwenye tenda kusiwe na usiri, kila mtu anaonyesha gharama zake na faida anayotaka. Kutakuwa na haja gani ya kudanganya au kupeana hongo nk.?

Kumbukeni sakata la magorofa yaliyojengwa chini ya viwango jijini Dar ambayo ilisemekana yalistahili kubomolewa! Iliishia wapi? Nani aliwajibika?
Tujadili!
 
Hii ndio faida ya mitandao alafu wamiliki wake wanasumbuliwa badala ya kushukuliwa.
Mkwepa kodi anasema mtukufu malaika haupendi huu mtandao sabb wanajukwaa walitakiwa wampe habari kisiri ili afanye ziara ya kushtukiza na kitumbua na apate sifa
 
Nahisi harufu za chuki hapa..not objective
Huwezi kukwepa chuki kwa watu fulani. Ninachokiona ni matumizi mabaya ya madaraka kwa wakuu wote wa taasisi. Kwa utawala uliopita nisingetegemea kuona Mkurengi wa Tanesco anavuruga kazi, Mkurugenzi wa NIMR anavuruga, Mkurugenzi wa TCRA anavuruga, Mkurugenzi wa jiji Dar anavuruga, mkurugenzi wa ..... woote wavuruge isipokuwa wakuu wa vyuo vikuu!

Ktk sekta ya ujenzi kuna upuuzi unafanywa na vyuo vyetu. UD kuna college ya engineering, SUA kwenyewe huko kuna idara ya engineering, inakuwaje viongozi hawataki kutumia wataalamu wao na badala yake wanawapa kazi wenye makampuni na kuishia kujenga majengo kwa gharama isiyolingana na thamani yake? Rushwa! Na hiyo siyo chuki, ni logic tu pale wanapokosa sababu ya kuridhisha zaidi ya sababu ya rushwa.

Walioko SUA tunaomba leteni picha ya jengo hilo tuone kama linastahili kuwa jengo la bilioni 2 ukilinganisha na majengo mengine nchi hii.
 
100% ya waliotajwa ukiwakagua wana green/yellow cards mifukoni.
 
Yale Makabila makubwa yote niliyoyategemea yawepo kwenye huu wizi nimeyakuta, Mwangingo, Massawe, Ishengoma, eti wasomi waliostaaribika sisi wengine tunawaonea wivu "wanamaendeleo" hao wa mikoani kawo. MIJIZI MIKUBWA NYIE... yani kila kashfa nyie tu afu mnalilia mpewe nchi Famvafv Thana
JULIUS aliona mbali. Utadhani alikuwa nabii Isaya.
 
Back
Top Bottom