Nchi 10 zenye technology bora ya makombora duniani

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,023
Kuna technology bora duniani zimefanya dunia isiwe sehemu salama ya kuishi.

Technology zingine zina uwezo wa kuharibu Jiji kwa dakika chache, kibaya zaidi nchi nyingi zinazidi kujikita kwenye technology hii.

Natamani viongozi wa dini; Uislam, Wakristo, Judaism, Bahai, Hindu, Budha, Shikh, Rastafari na nyinginezo sasa wawe kitu kimoja kukemea muendelezo wa mambo haya badala yake wajikite kwenye kuboresha maisha ya binadamu sayari hii ni ya kwetu wote.

1. RUSSIA
Ina makombora 45,000.Yalipunguzwa yakabaki 7500. Kati ya hayo 1800 yako hai. Pia ina ICBM 515. Makombora yake yanatumia akili bandia ikimaanisha yana uwezo wa kubadili uelekeo yakiwa angani ili kwenda kupiga kwa uhakika kunakotakiwa.

2. USA
Ina minuteman-111 masafa10,000km kwa speed ya 24,000km/hr. Ina pia UGM-TRIDENT 2 masafa 10,000km speed 20,800km/hr. Ina zaidi ya makombora 7,700 mengine inayauza.

3. CHINA
Wana Dongfeng 5-A masafa 13,000km pia imetengeneza Dongfeng 31-31-A masafa 11,000km. China ina makombora 250.

4. FRANCE
Wana M-51 masafa 10,000km.

5. UK
1952 ilijaribu kombora la kwanza 1957 hydrogen bomb lilijaribiwa kwa jina la operation Grapple.UK ina makombora hai 120 kwa ujumla wana 215.

6. INDIA
Wana prithvi-1 na prithvi-2 pia wana Agni-1 na Agni-2 kwa masafa 700 na 2500km
Wametengeneza pia Agni-111 lenye masafa 4000km.

7. PAKSTAN
Wana Shaheen-1 masafa 750km wameuziwa kombora na China na No Dong kutoka Korea kaskazini. Wana makombora 120.

8. ISRAEL
Wana Jericho-1 na Jericho-2

9. IRAN
Wana makombora ya masafa marefu na mafupi. Shehab-1 masafa 300km, Shehab-2 550km, Shehab-3 1300km.

10. KOREA KASKAZINI
Lengo lao watengeneze makombora yanayofika Marekani, makombora yao ni Scud-B walitengeneza mwaka1984,Scud-C na Scud-D masafa 500 na 800km.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Korea umesahau kombora lao la gwasong 11
12 na sasa ni 13

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ume mention hapo kuwa Russia ndio ana ICBM ila kuna wenzake wanne nao wana ICBMs ikiwemo North Korea, India, China na US.
Mpaka sasa nchi zinazojulikana kuwa zina uwezo wa kupiga sehemu yeyote katika uso wa dunia hii kutokea kwao ziko 5.
1.RUSSIA 2.USA 3.CHINA 4.UK 5.FRANCE.
Watu wengi wanaitaja Korea Kaskazini ila wao tafiti zao wanafanya kujaribu kumfikia hasimu wao Marekani

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
SS-18 Satan hilo Shetani la Mrusi Mbona sijaliona au haliingii kwenye list ya makombora?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom