Nchi 10 afrika zenye wanawake wazuri zaidi, Tanzania yashika namba 3

323048.jpg













140447.jpg
238367.jpg
181383.jpg

hawa ni wazuri kuliko hizo za wazungu.

swissme
 
Wakuu tupeni picha zingine hebu za kutosha tushafishe macho.....


Manake natafuta hata kaproject huko Rwanda niende nikafanye yangu...
 
somalia haiwezi kuwa ya kwanza hata iweje kuna wanawake wa ki-ethiopia+rwanda+egypt+cape verde ni WAZURI hadi MACHOZI YANAKUTOKA.


Lakini hawawezi kukubali na wala wakikuona hata hawatajali kama wameona binadamu, penda vya kwenu!
 
ungeweka hapa wale wanawake wakizulu,wanawake wakondoa,wanawake wakimburu,wakimasai,wakinyakyusa,wanawake wakisukuma,wakihaya..nazungumzia wazuri waasili sio makeup but kwa wasomali na tusi nakupa gwala
 
somalia haiwezi kuwa ya kwanza hata iweje kuna wanawake wa ki-ethiopia+rwanda+egypt+cape verde ni WAZURI hadi MACHOZI YANAKUTOKA.
Tanzania ndio yenye wanawake wazuri zaidi hapa afrika mashariki sema hamjatembea Tanzania vizuri sababu ya ukubwa wake kijiografia na wingi wa makabila.
 
Tanzania nimepiga nje ndani mkuu, naona wale wale .....

Nataka nitext sukari ya majirani zetu sasa....
Tanzania Kubwa na hata makabila yake unayajua machache ndio maana nikakuuliza. Huko Rwanda ni watutsi tu ambao hata Burundi, uganda wapo, na nina hakika bado u mdogo au hujatembea sana Tanzania maana hao unaodhani ni wazuri sana wapo Tanzania, nenda kagera utawakuta huko.
 
Halafu Waafrika tukiitwa niga na kutupiwa ndizi tunalia ubaguzi wakati sisi wenyewe tunajibagua, haya Mwanamke mzuri Afrika ni Mwarabu au yule mwenye ukaribu na Uarabu yaani uzuri kwetu ni chochote ambacho hakina asili au kilicho mbali na asili yetu ya Kiafrika!

Kwli mkuu mi mwnywe nimebaki na mshangao tuu hpa!!!!wengi alowataja hpo ni nusu africa cio asili sa ndo uafrica huo????alafu mbona wte fake tuuu wawaweke bila makeup ndo asili ytu na mabutu kichwani!!!!!
 
Kumbe Somalia ndiyo kuna Wanawake Warembo hivyo jaman!!,ninataman nikaoepo lakini nahofia kuhatarisha maisha yangu,maana huko si ndiko wanaishi A-lshabab,bas sina namna
 
Back
Top Bottom