Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

How retarded Tz is? We've given way to scums and viles in leadership of the country and now see the price we have to pay.

Wananchi who elected the likes of Lusinde and Mwigulu should share the blame.
 
Hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.

CCM = Chama Cha Majambazi

Ni mara ngapi Serikali inaua raia wasio na hatia na hamchukui hatua yoyote.

Wabunge wa CDM walijeruhiwa vibaya lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa hadi sasa ingawa wahusika walifahamika.

Isipokuwa kwa hili la Singida kila kon mnalivalia njuga.

ni mara ngapi viongozi wa CCM wanatoa maneno machafu kukashifu CDM. Mfano maneno machafu na kashfa dhidi ya viongozi wa CDM aliyotoa Lusinde kule Arumeru. Lakini CDM hawakufanya fujo yoyote ingawa walisikia na ushahidi hadi ya video upo. je mbana CDM hawakuvamia mikutano ya CCM.

Iweje leo Mwigulu kukodisha watu wakavamia mkutano wa CDM. Si walikuwa na nia ya kufanya fujo tu.

Yaliyotokea ni matokeo ya vitendo vyao vya kibabe,



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Ndugu katika bwana TUMIKA UTANZANIA acha tabia za kutumikia watu na penda kusimama kwenye ukweli utabaki huru

hacha unafiki ukweli ni upi unao utaka?
Mwigulu(burn) mwenyewe anaye omba muongozo ndiye aliyetuma watu wakafanye fujo na ndiye muaji.

We mchungaji unachunga kondoo gani hadi una muacha burn(mwingulu) anapotea kiasi hiki?
 
Akiomba muongozo wa spiker Mwigula Mchemba amesema ametishiwa kuuwawa na baadhi ya wabunge wa Chadema kwa kumtumia sms akilinganisha na tukio la kuuwawa kwa kijana wa uvccm iramba.

Nchi hii si ya chama cha Nchemba wala CCM, bali ni watanzania wote, ambao urithi wetu mkubwa ni rasilimali zilizopo na amani , ambayo nchi nyingi za maziwa makuu hawjawahi kuwa nayo kwa miongo mingi.Bado naamini siasa za chuki, ghiriba, hila, na uhasama si siasa ambazo wananchi wetu wanahitaji katika kuleta maisha yaliyo bora na ya amani.

Chokochoko na chuki si jambo jema.Nchemba anatakiwa kujifunza kuwa, si yeye, wala bunge wala ccm, wanahitaji fitina zake ili kuleta maendeleo.Nazidi kuwasihi watanzania, tushindane kwa hoja na sera znye maudhui ya kuwaletea maisha bora watanzania.

Na si kupiga kampeni za chuki na uhasama.Nchemba anatka kujenga siasa za kuwajenga uhasama.akumbuke mkoa wa siginda ni miongoni mwa mikoa maskini, hivyo wajibu wake kusisitiza amani na maendeleo na si vile anavyotaka kulitumia bunge kujiosha.

Bunge si mahala wala si kichaka cha kufanyoa uovu.Tayari suala hili liko kwenye vyombo vya dola (polisi) na usalama wataifa, kama ahaoushahidi aupeleke na kufanyia propanganda za maisha ya watu wasiona makosa wauawe na kukimbilia kujisafisha bungeni kwa kutegemea wingi wa wabunge wa ccm.
 
Nashangaa hadi sasa mnyika na DR kitila Mkumbo hawakamatwi,hili jeshi la polisi linafanya kazi gani???

hapo watasema imeundwa tume ya uchunguzi wakati wahusika wanajulikana wazi.
 
[h=6]HabariLeo
[/h][h=6]MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kata ya Ndago wilayani Iramba katika Mkoa wa Singida, Yohana Mpinga (30), ameuawa kwa kupigwa kwa mawe katika vurugu zilizotokea katika mkutano wa hadhara wa Chadema, uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika.[/h] Damu yamwagika mkutano Chadema
[url]www.habarileo.co.tzHabariLeo
| Gwiji la Habari Tanzania. Pata habari moto moto nazenye huhakika

[/URL]
 
Hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.

kama mtanzania ambaye ana uwezo wa kutumia computer ana mawazo kama haya!jiulize wengine wenzetu huko mbwinde wanawaza nini.mwenye macho haambiwi tazama,siasa za ccm znahitaj maboresho. Waache siara za fitina watatuletea vifo
 
Anatafuta kura.

Kwanini hakwenda kulala msibani na asubiri mpaka wazike ndo aje bungeni?
Au kuna baridi sana kipindi hichi?
anaogopa kwenda msibani maana wafiwa wanamjua mbaya wao ni mwigulu chemba! ana taarifa kuwa wana ndago wanamngoja, akitokea msibani tu kipigo zats why anaanza kuomba miongozo akihofia maisha yake
 
Kutokana na tukio lililotokea kwenye jimbo la Iramba Kwa Mwingulu Nchemba kwa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa na kikundi cha kihuni cha Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na kufanya vurugu zilizopelekea kujeruhiwa kwa watu na hatimaye kuuwawa kwa mfuasi wa CCM, inatoa fundisho kuwa CCM imeamua kutuchokoza na imetangaza vita na CHADEMA! Sasa LIWALO NA LIWE hatutakubali kuonewa wala kunyanyaswa na kikindi cha wahuni! Hizi siasa za Mwigulu ni za kihuni, hatuwezi kuzivumilia! Vyombo vya dola kama police pia vinahusika kwenye hili tukio na sasa wameitengeneza Story eti Viongozi wa CHADEMA ndo walianzisha vurugu kwa kumtukana Mwigulu na wananchi wakakasirika ndo vurugu zikatokea, kamando hivyo hizo mbona hakuna kiongozi wa chama aliyejeruhiwa? Na mbona mkutano uliendelea baada ya vurugu kwa Amani? Kuanzia sasa mikutano yetu tutailinda! LIWALO NA! LIWE,
CCM ndio wakorofi na wameshindwa
 
mbona wapo wachungaji ambao ni wabunge wa vyama.na kama kakobe alisema mrema ni raisi wa wa tz na kura zikachakachuliwa wewe unajuaje yaliyokuwa yanaendelea kwenye chumba cha kuhesabia kura ? hata wewe jadili mada usijadili watu.

Maamuzi ya mungu huwa hayabadilishwi na mwanadamu akisema ndiyo ni ndiyo akisema hapana ni hapana.yakibadilishwa na kitu chochote haya kuwa maamuzi yake.labda awe mungu asiyejulikana.
 
Hiki chama cha ccm ni cha wazee, hawa vijana wasiokuwa na uchungu na chama wamewatoa wapi?
Watawaharib ia hadi mwisho.
Mimi nilizoea kuona wabunge ccm wazee tupu
 
Yani CCM kwa kukopi na kupaste wamesikia kina Mnyika wametishiwa kuuliwa na wenyewe wameamua kujitishia toka lini muuaji akatishiwa kuuliwa????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama Mwigulu ana first class ya uchumi, ameongea vitu gani vya maana bungeni kuishauri serikali jinsi ya kuimarisha uchumi wa Tz.mbona kila siku anaongea pumba tu!
 
Anacheza na M4C, atakufa mwenyewe. Bob Marley said this: " Whosoever diggeth a pit shall fall in it" Hii ni jumbe nzuri kwa wagomvi.
 
Back
Top Bottom