Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

Akiomba muongozo wa spiker Mwigula Mchemba amesema ametishiwa kuuwawa na baadhi ya wabunge wa Chadema kwa kumtumia sms akilinganisha na tukio la kuuwawa kwa kijana wa uvccm iramba.

Natarajia Dr Feki Emmanuel Nchimbi atawaagiza maofisa wa polisi wamuoji chemba!
 
Siasa za Tanzania zinaelekea pabaya imfikia kutoana roho.
 
Hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.

Na wewe uko humu kuaminisha nini umma? kumbuka hakuna serikali yoyote duniani imewahi kuishinda nguvu ya umma. Endelea kuota ndoto za ccm itatawala milele
 
Huyo aliyekufa alikutwa na majeraha au alikunywa gongo?.
 
Huu ulioandika sasa ndio tunaouita ***** na usio na tija bali umepoteza muda wako bure. Kuua muuwe CDM , Mwigulu anahusikaje hapo ? Nyie ni wauaji na sheria ichukue mkondo wake

wewe makalio kusini watu wamepiga mikutano hadi nyumbani kwa membe, hakukanyagwa hata mende!!! Mwigulu anatumia sayantifiki kalukuleta kujumlisha 1+1
 
Huyo anataka tusahau mambo walio fanya policcm kwa ulimboka!

Hatuwezi kusahau uongo wa kova hata sikumoja na mauaji wanayo fanya kila kukicha.
 
Ha ha haaa, dah, naona hisia nyingi na uchangiaji mwingi katiak hii thread imejikita katika ushabiki wa kisiasa tu. Mimi napita tu wakuu!
 
Ukiona mtu anajisifu kwa kitu ambacho anatakiwa kuwa nacho naturally.........like, kujiita Dume, wakati ni mwanaume ujue huyo tayari sio riziki.Yeyote anayejiita mwenye akili wakati naturally unatakiwa uwe na aklili, ujue huyo hanazo...ni CHIZI huyo!Popote anapokuwepo Nchemba huwa panakuwa na harufu ya UMAUTI...............Igunga, Arumeru mashariki na sasa Singida.
 
alafu sis tunashabikia tu humu kwenye mitandao.
tujifunze kutoka kwa majirani zetu, nao walianza ivi ivi
kwanini tusifanye siasa za kistaarabu?
 
Nime print picha za Mwiguru Nchemba kwasasa nataka kujua huwa anatembelea maeneo gani wakati gani huyu mbunge wangu
 
Kwanza kabla ya yoye alishamuomba radhi yule Ustaadh wa Igunga aliyemmegea mkewe?Dhambi ya uzinzi na damu zilizo mwagika Igunga, Arumeru na Ndago kwa ufadhili wake zitamtesa sana huyu jamaa mpaka siku anaingia kaburini.
 
Back
Top Bottom