Nchemba anatumiwa, CHADEMA na NCCR kuweni makini

Siyo huko tu hata wasomi wamemchoka wenzake aliosoma nao wanamdharau,hivi wenzake aliosoma nao wanampango wa kwenda kumtoa jimboni maana wakati anataka kugombea aliwashirikisha halafu hivi sasa wanaona ni pumba tupu inawauma sana
Huku Sinza na maeneo ya MABIBO kila mtu anachukizwa na tabia ya Mnyika ya kujishushia hadhi hadi kutolewa nje huku yeyey akidhania ni ushujaa. Kuna jamaa anaitwa Mshana ndiye anaandaliwa kutwaa jimbo la Ubungo kwa sasa. Stay tuned.....
 
unapotoka sana ndugu yetu. Kwa mtazamo wako anachoongea Nchemba bungeni kina manufaa kwako? Ni lini kazungumza hoja?
Tukiuliza swali hilo, basi tutawaumbua wengi waropokaji Bungeni wakiwemo lukuki wa CDM....Bora kukaa kimya
 
Nchemba anawakamata kweli kweli sasa, daraja la kwanza lake analitumia ipasavyo
Afadhali yale maneno angeongea komba,mganga tusingeshangaa lakini daraja la kwanza mavi matupu,anawatia aibu wasomi wenzake,ninawasiwasi ni zao la wizi wa mitihani
 
Afadhali yale maneno angeongea komba,mganga tusingeshangaa lakini daraja la kwanza mavi matupu,anawatia aibu wasomi wenzake,ninawasiwasi ni zao la wizi wa mitihani

punguza mapovu mkuu na matusi utakula BAN bure...movie ndo kwanza imeanza
 
Huku Sinza na maeneo ya MABIBO kila mtu anachukizwa na tabia ya Mnyika ya kujishushia hadhi hadi kutolewa nje huku yeyey akidhania ni ushujaa. Kuna jamaa anaitwa Mshana ndiye anaandaliwa kutwaa jimbo la Ubungo kwa sasa. Stay tuned.....
HIyo akili uliyonayo ya kuku hata uizidishe mara mia huwezi lingana na Mnyika,mlimchagua kwenda kuunga mkono hoja mia kwa mia na kusinzia?tatizo mmezoea pumba pumba tu,hata mkimuandaa nabii haisaidii kama atakwenda kusindikiza,tunataka watu wenye akili kama Mnyika,dogo kichwa acha ajibu tuuma we uendelee kukerwa na ukweli
 
nchemba! nchemba! lah, ndo baada ya kukimbia usifadi BoT, amepewa fursa ya kulinda vilivyoibiwa na kuhifadhiwa na magamba! anajipaka mavi tuu! kupambana na wana magwanda ni sawa na kujinyea! ndo maana mapapa makuu yanaogopa! si kwamba ni vilaza! wamembambikia ili achafuke aondolewe katika mtandao! ndo matatizo ya kuwa kimbelembele!!! kishaanzishiwa tuhuma za EPA ss!
 
Mwigulu ni mtu wa kukurupuka siku zote na mbio zake zimeanza fikia ukingoni.Nasikitika sana kwa yeye kudhalilisha wachumi kwa kutokusoma alama za nyakati .
 
Jana niliangalia Bunge. Nilikasirishwa sana na Nchemba kwa jinsi alivyokuwa anaenda OFF HOJA zilizokuwa zinajadiliwa ili awaProvoke CHADEMA. hakika sikupenda eti kulita hoja oooh mmeandika hivi kwenye taarifa yenu. mwisho akamalizia hata mnapokaa bungeni ni kama mko Sebuleni. Kijana mwenyewe anaongea kama vile anatoa mipasho isiyo na tija. halafu anachekelea. Joni Mnyika na Mchungaji achanienina hoja za huyu Mbunge za kuudhi.
Hivi Enzi za Mr&mrs Sita,
Mr&mrs Malechela,
Mrs &mrs Shelukindo kuwa Bungeni walikuwa wanakaa kama wamekaa wapi? Acheni kuhubiri UKABILA na FAMILIA Bungeni.

Mwigilu Nchema=Wabunge wote wa CDM hahahaha hii inafurahisha
 
CC-CCM, ni baba+mama...,

ikatokea member wa CC - CCM, akitenda jambo (mfano: Mh Nchemba vs Mke wa mwanachama wa ktk Campaign, by election igunga), akizungumza lolote (Mh Nchemba, kauli na vituko vyake Mjengoni), mbwembwe zake etc. hata kama wao kama CCM wanachukizwa, kukereka, etc hawana ubavu wa kumkemea mhusika...., wanamheshimu na kumwogopa kutokana na nidhamu za kichama.
Mh Nchemba ni member wa CC-CCM, pamoja Speaker na Mh J Mhagama, yeye anaingia kama katibu wa Wabunge wa CCM...., Je tunategemea fair ground hapo...? Mh Nchemba ana take advantage ya udhaifu huo.
 
jamani siku hizi NCCR wanakuwa kapu moja na CDM, NCCR ni wanafiki-wazuga tu bungeni kuwapumbaza wasioelewa kuwa wao ni CCM-C, chama kilicho makani kuwakomboa wananchi na ambacho ndicho taget ya CCM ni CDM basi, hata huyo nchemba/chemba/mfereji wa maji taka-yeye anadili na cdm tu! kitu ambacho hatofanikiwa kamwe! sana ajiandae kupoteza jimbo 2015.

Wewe ni shabiki tu wa CDM huna jingine, usichotaka ni kuona NCCR kinatajwa kwa jema ila CDM tu.
 
CC-CCM, ni baba+mama...,

ikatokea member wa CC - CCM, akitenda jambo (mfano: Mh Nchemba vs Mke wa mwanachama wa ktk Campaign, by election igunga), akizungumza lolote (Mh Nchemba, kauli na vituko vyake Mjengoni), mbwembwe zake etc. hata kama wao kama CCM wanachukizwa, kukereka, etc hawana ubavu wa kumkemea mhusika...., wanamheshimu na kumwogopa kutokana na nidhamu za kichama.
Mh Nchemba ni member wa CC-CCM, pamoja Speaker na Mh J Mhagama, yeye anaingia kama katibu wa Wabunge wa CCM...., Je tunategemea fair ground hapo...? Mh Nchemba ana take advantage ya udhaifu huo.

Pamoja na kutumia nyadhifa hizo kama advantage kwake, ajue kuwa nje ya Bunge na cc-ccm anasomeka vibaya
 
Back
Top Bottom