Waridi
JF-Expert Member
- Mar 30, 2008
- 1,025
- 172
Katika mazungumzo ya kumaliza tatizo la Kawe, viongozi walikubaliana kwamba upande unaohusika kwa kutoa matusi, kejeli na vijembe visivyo na maana uwatake wanachama wake kuacha mara moja mambo hayo. Sasa huu ni ushahidi dhahiri kwamba hawakufanya hivyo.Nadhani hili suala litazamwe kama mtu binafsi katoa tamko, kwani hawana utaratibu wa kuratibu nini kitaongelewa katika mikutano yao na nani aongelee nini na hakuna ile limit ya kuongea mtu atakavyo ndio maana hata dogo kule Arusha akagusia jambo ambalo hata mtoto mdogo alishangaa mbunge kumtena Rais kutoka eneo fulani.