Ndugu zangu nimeona quote ambayo imeandikwa na mbunge mmoja wa NCCR Mageuzi kuwa wabunge wa NCCR walivote for Marando kama chama pamoja na wabunge wa CHADEMA. Ila CUF kama chama walivote for CCM candidate. Inamaana kuwa marando amepata pia support ya CCM wachache
Nafikiri badala ya kuwatukana wapinzani wote tusubiri waje jamvini watuhabarishe ndipo tujue kilichojiri na ndo tuanze madongo.
Hii info nimeiona kwenye twitter amabko mkosamali (NCCR MP) ameeleza
Nafikiri badala ya kuwatukana wapinzani wote tusubiri waje jamvini watuhabarishe ndipo tujue kilichojiri na ndo tuanze madongo.
Hii info nimeiona kwenye twitter amabko mkosamali (NCCR MP) ameeleza