Tetesi: NCCR Mageuzi kuvaa kama EFF

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Kuna taarifa kuwa NCCR-Mageuzi wanatarajiwa kutambulisha mavazi yao ya kazi kuelekea uchaguzi Mkuu 2020

Taarifa zinadai kuwa NCCR watavaa kama EFF ya Malema ili kushabihi nembo yao. Wanaume watavaa Overall za blue rangi ya Chama chao na wanawake watavaa vigauni kama vya watoto wa nursery zamani vya rangi ya blue na kola nyeupe au suti za blue za suruali au sketi

Nembo ya NCCR ina mwanaume anaendesha trekta kumaanisha kilimo cha kisasa na kazi, pia ina picha ya mwanamke anasoma kitabu kumaanisha umuhimu wa elimu hususan kwa mtoto wa kike.

Tutaona mengi. Mbatia ndani ya Overall hatari
 
CHADOMO VS NCCR ni vita ya kugombea nani awe kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naona mpaka sasa CHADOMO 0 NCCR 3 ni half-time
Tupo Mbeya kwenye msiba wa yule haramia wa TISS tukitoka huko tunaenda Moshi kumpumzisha mwingine then tunarudi hapo Dodoma kumlaza kigogo nwingine. Hii Corona inavyowqondoa haituachi tupumue.

NCCR ni chama dhaifu sana mimi kumjadili. Siyo level zangu hizo.
 
USSR
Hivi nani ampigie kura huyo msaliti, anayefadhiliwa na watawala ili aue upinzani wa dhati nchini??

Kwani nani hajui mkakati wa Jiwe wa "kupora" pesa hazina, ili azigawe kwa hao wasaliti??
 
dogo nimekusoma kitambo sana humu ukibwbwajia mme wako mbatia kila mara, nakuhakikishia hamfiki popote, subr mziki jukwaan uanze uone,hayo maovalor yatakuwa kinyela bumo.
 
Tupo Mbeya kwenye msiba wa yule haramia wa TISS tukitoka huko tunaenda Moshi kumpumzisha mwingine then tunarudi hapo Dodoma kumlaza kigogo nwingine. Hii Corona inavyowqondoa haituachi tupumue.

NCCR ni chama dhaifu sana mimi kumjadili. Siyo level zangu hizo.
Duh

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
CHADOMO VS NCCR ni vita ya kugombea nani awe kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naona mpaka sasa CHADOMO 0 NCCR 3 ni half-time
Yule shetani nasikia amewahaidi majimbo 10 ya geresha kwa mnaowaomba mikopo ili waone uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Ila mkumbushe damu ya Akwilina aliimwaga kwa sababu ya dhulma zake.
 
Chadema hawezi kupata Mbunge October, Nccr mageuzi ndio atakuwa kambi ya Upinzani
CHADOMO VS NCCR ni vita ya kugombea nani awe kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naona mpaka sasa CHADOMO 0 NCCR 3 ni half-time
 
Tupo Mbeya kwenye msiba wa yule haramia wa TISS tukitoka huko tunaenda Moshi kumpumzisha mwingine then tunarudi hapo Dodoma kumlaza kigogo nwingine. Hii Corona inavyowqondoa haituachi tupumue.

NCCR ni chama dhaifu sana mimi kumjadili. Siyo level zangu hizo.
Mkuu!moshi tena?na dodoma kuna kigogo tena?hebu kuwa muwazi!mbona !raha?
 
Back
Top Bottom