Nccr mageuzi kueneza elimu ya raia kigoma kesho

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
NCCR MAGEUZI kuanzia kesho wataanza ziara Kigoma ya kueneza elimu ya raia kwa wananchi.
Source TBC1 1600 NEWS

Je ni kweli kueneza elimu ya raia au wametumwa na CCM kuharibu kazi ya CDM?
 
Tena wanakuwa supported na tbc?
mmmh,haya ngoja tuone mtupe na picha zao watu wanavo jaa tuone
 
Kwani hiyo elimu siku hizi imefutwa Mashuleni?! kwanini wasijitoe kwenye Siasa wabaki kama NGO!
 
Back
Top Bottom