NCCR Mageuzi itawanyakua vigogo hawa Kutoka CCM labla ya uchaguzi Mkuu

Muda si mrefu tutashuhudia moja ya Movement kali kutoka miongoni mwa vigogo wa CCM ambao wanajiandaa kwenda NCCR-MAGEUZI ili kuwe na vyama viwili vyenye nguvu Tanzania ambao vyote vina muelekeo wa kizalendo na Kijamaa,

Mpaka sasa NCCR-MAGEUZI inafanya siasa za Kitaifa James Mbatia anaendelea kuaminika sana na mifumo katika Nchi uku ndani ya chama hicho kikiwatengeneza Kiitikadi Vijana kama Edward Sembeye Nicholaus Clinton na vijana wengine ambao wanajiunga na chama hicho kwa kasi.

Tetesi sinasema, Viongozi wanaotarajiwa kujiunga na NCCR-MAGEUZI ni Makamba Jr, Kinana na Bernard Membe, huku Nape Nauye anagwaya kujiunga na chama hicho mapema kabla ya uchaguzi Mkuu.
Walikolalia wao wenzao ndo wameamkia

Jr
 
Back
Top Bottom