NCCR-Mageuzi hawavumi ingawa wapo!

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,695
785
Wajameni sio vibaya kupitia pitia kwenye hiki chama cha NCCR-Mageuzi; katika pitapita zangu nimeona tovuti hii ya NCCR-Mageuzi

Angalizo: Naomba kuwaeleza chama chetu makini cha CHADEMA kwamba domain yao... wamefanya direct translation wakiamaanisha... .net ina maana mtandao... .net iko-reserved kwa network devices routers etc...

Nawashauri kuwa makini zaidi kwa kuregister chadema.or.tz sio chadema.net; ndio haswa mahali pake.
 
Sawa lakini chama kisiishie kwenye maandishi. kipelekwe na kule milimani kwa wasiojua kusoma na kuandika.
 
Nimeitembelea Ni Nzuri Na InAjaribu Kugusa Zaidi Wananchi....!
Je Vyama Vingine Vina Tovuti...? Ccm, Cuf, Chadema, Udp,'ukwami' Etc....? Waziweke Hapa...!
 
Last edited:
Wajameni sio vibaya kupitia pitia kwenye hiki chama cha NCCR-Mageuzi; katika pitapita zangu nimeona tovuti hii ya NCCR-Mageuzi

Angalizo: Naomba kuwaeleza chama chetu makini cha CHADEMA kwamba domain yao... wamefanya direct translation wakiamaanisha... .net ina maana mtandao... .net iko-reserved kwa network devices routers etc...

Nawashauri kuwa makini zaidi kwa kuregister chadema.or.tz sio chadema.net; ndio haswa mahali pake.

Chama chenu makini wewe na nani... mzee..?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom