TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Hapana shaka Mzee MAKAIDI(R.I.P) aliondoka na chama chake cha NLD na hakuna wa kufungwa kengele.
Nawasikia tu MBATIA na SAKAYA, sivisikii kabisa vyama vyao, tatizo nini? Au ndio ukweli kwamba MALENGO YA CHADEMA YAMETIMIA?
Ukiondoa UKAWA wa kupakana mafuta kule Bungeni, huku nje upo?
Wabunge wa CUF Zanzibar katika bunge la JMT ndio wamebakia kula urojo mitaani?
SIASA KWELI MCHEZO MCHAFU. Hongereni sana CHADEMA.