NCC inatambulika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NCC inatambulika?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vijisenti, Mar 11, 2011.

 1. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nilitembelea Center moja katika zile zinazotoa elimu ya Computer Nikakuta mfumo tofauti kidogo na mifumo tuliyozoea. Wao wanatoa Diploma kwa mwaka mmoja, Advanced Diploma kwa mwaka mmoja zinaitwa International Diploma & Advanced diploma na ziko chini ya NCC, Ukimaliza hizo unafanya Bachelor degree ya Business studies au Bachelor ya Computer studies inayotolewa na Greenwich university. Ninachoomba kufahamu hapa ni kama Elimu ile ya NCC inakubalika na serikali yetu. Vyuo hivyo viko viwili kimoja kinaitwa Learn IT na kingine kinaitwa Institute Of Information Technology Je nikifanya hiyo Degree kweli inakubalika hapa nchini?. Naombeni ufafanuzi wenu tafadhali.
   
 2. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Havikubaliki na hapa degree ya huko Greenwich haikubaliki
   
 3. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duhh.. mbona hivyo jamani!
   
 4. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Vipi Mayyasa una hoja hapo mbona naona kama umeshtuka? Tafadhali nifafanulie!
   
 5. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vyeti vya NCC vinakubalika wala usihofu, nimesoma hapo IIT NCC Advanced diploma na ninafanya kazi serikalini, wala usitishwe kama unataka kujiendeleza wewe nenda tu.
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni bahati yako na mshukuru Mungu.
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana kwa majibu yako mayasa, nitajaribu huko!
   
 8. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Anfaal, unawafahamu jamaa wanaitwa ZOOM POLYTECHNICAL?(Zamani DCT) vipi wenyewe nao wanatambulika?
   
 9. i

  imara Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanachakachua elimu hao
  najua diploma ni miaka miwili
  waliosoma mwaka watakuwa weupe sana
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nenda kaulizie NACTE au TCU, utapewa majibu sahihi zaidi. Hii ya kupata kazi serikalini isiwe kigezo cha cheti kukubalika, kuna watu walishapewa kazi kwa vigezo vya vyeti baadae wakaja kupata matatizo.

  And more importantly, you are better off without a certificate (whether recognised or otherwise) BUT WITH KNOWLEGDE AND SKILLS. Angalia kama NCC watakupa unachokihitaji. Omba curriculum zao kwenye hicho unachotaka kukisomea na uangalie taaluma za waalimu.
   
 11. c

  core Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jibu lajitosheleza vya kutosha
   
Loading...