nivoj.sued
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 221
- 190
Hivi karibuni, Shirika la Takwimu la Taifa (NBS) lilitoa ripoti inayoonyesha idadi ya watu katikaTanzania Bara. Hapa chini naweka takwimu za wapiga kura wa Majimbo ya Dar, na majimbo machache ya kikoani. Kwa data kamili tumia anwani ya mtandaoni ambayo ni hii: https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf