NBS washaita watu kwa usahili?

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
635
554
Habari wanajamvi naulizia zile nafasi 300 zilizotangazwa na NBS wameshaita watu kwaajili ya usahili? Maana deadline ilikuwa 14/3/2021, au ndio hadi maombolezo yaishe
 
Habari wanajamvi naulizia zile nafasi 300 zilizotangazwa na NBS wameshaita watu kwaajili ya usahili? Maana deadline ilikuwa 14/3/2021, au ndio hadi maombolezo yaishe
Nami nasubiri hili mana inaekekea mwezi tangu wafunge kupokea maombi huenda wameita watu kimya mana walisema watakaokizi vigezo watajulishwa
 
Habari wanajamvi naulizia zile nafasi 300 zilizotangazwa na NBS wameshaita watu kwaajili ya usahili? Maana deadline ilikuwa 14/3/2021, au ndio hadi maombolezo yaishe
Duuuh! Kwani hata majina ya walio itwa kwenye usaili washatoa au wanashituana kimya kimya
 
Mambo hayahitaji haraka, ukiona kimya na we una mute tu. Nkupe mfano kuna tangazo la EWURA lilitoka mwezi wa 12 deadline ilikuwa tarehe 8 mwezi wa kwanza. Mpaka leo kimya.
 
Sasa ivi Ajira zipo mia 300 tu na nchi ina wilaya Zaid ya 200 so it means Kila wilaya wanakua watu wawil au mmoja au uwa inakuajee ??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom