one one
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 332
- 368
Unabishanaje na akili fupi?Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?
Unaweza kuniambia ni serikali gani iliyochora tembo mwekundu kwenye noti ya 10,000?
Unaweza kuniambia tembo wekundu wapo katika hifadhi gani kokote kule duniani?
Unaweza kunipa sababu kwanini yanga isionekane ni club inayo chafua utu wa mtu kwa kuweka rangi ya njano katika ngozi ya watu waliochorwa kwenye logo ya club?