NBC Bank Mdhamini mkuu Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022

Itasonga kuelekea wapi??

Mnapenda kujipa umuhimu usio na sababu.

Hayo mambo tunayafanya hapa kwetu ki local local tu, ila international hayapo.

Yaani kwa mfano SIMBA WANGEGOMEA KUWEKA LOGO CAF KISA INA GREEN NA YELLOW.
International ya wapi?

Team viewer wanaoidhanini man u Wana logo ya rangi gani?

Na kwanini kwenye jezi za man u wameweka logo nyeupe?
 
Nadhani Hili swala lipo kisheria boss ndo maana hata Vodacom waliporudi second time karia aliropoka kua hataki kuona team ikibadili rangi ya logo ila bado alishindwa kuna sheria ya FIFA kulinda Utamaduni wa vilabu vya mpira wa miguu.

NBC ndo atalazimika kubadili rangi ya logo kwa klabu chache.
Yanga walienda voda walivyokubaliana wakarudi bodi ya ligi acha kupotosha dogo
 
sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Hujielewi wewe au huelewi dhumuni la kudhamini
 
Swali ambalo unatakiwa kujiuliza ni mwakani team inayomilikiwa na bank ya DTB inapanda ligu kuu,

Je ITATAITANGAZA NBC kwenye jezi zao???
Mbona swali jepesi mkuu? Barclays walidhamini epl na liver alivaa standard chartered
 
Mbona swali jepesi mkuu? Barclays walidhamini epl na liver alivaa standard chartered
sio jepesi mkuu,
Liverpool wanadhaminiwa na standard Chartared. tofauti na DTB ndio mmiliki wa team, na ameanzisha team makusudi kabisa ili atangaze bank yake ya DTB,
sasa hapo itabidi aanze kumtangaza NBC ambaye ni mshindani wake kibiashara.
Ni sawa na team ya cocacola ianze kutangaza pepsi

hapo kuna wepesi??
 
Acha uzwazwa wewe, hujawahi ona azam team ikidhaminiwa na azam fruit? Hapo DTB team inadhaminiwa na bank mchezo kwisha
 
Mbona swali jepesi mkuu? Barclays walidhamini epl na liver alivaa standard chartered
Shida ni upuuzi wa Bongo, mikataba ya kina Karl Peters, Vodacom walipokuja African Lyon walikuwa na mdhamini wao kama club Zantel, ilibidi waachane naye eti "Conflicts of interest "......
 
Acha uzwazwa wewe, hujawahi ona azam team ikidhaminiwa na azam fruit? Hapo DTB team inadhaminiwa na bank mchezo kwisha
kwanza mtu akianza kutukana najua kabisa ameishiwa hoja ndo maana anakimbilia matusi.

alafu pili sijui unafananishaje vitu.
yaani unasema kabisa azam team na azam fruit, huoni kwamba mmiliki ni mmoja?

NBC na DTB zote ni bank zinamilikiwa na kampuni tofauti. ni kwamba huoni au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom