NBAA tengenezeni website yenye hadhi yenu

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
NBAA ni institution kubwa sana na yenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi, na shughuli zake zinatakiwa kuwa current ambazo zinaendana na mabadiliko ya kidunia na ki technologia lakini hii NBAA yetu hata haioneshi hivyo ukifungua kiweb site chao kwakwei utatamani kulia hata haujui infomation ipi unaipata wapi kadogo kaajbuajabu kanatia aibu kwakweli, sasa kama ku update kitu simple kama website inakua ngumu ku update Accounting standard na kupambana na mabadiliko ya kidunia na ki technologia katika Accounting si ndio itakua shida zaidi Dunia na Technologia vinabadilika very fast lakini nyie bado mpompo tu.

Angalieni wenzenu wa Acca wanavyofanya kilakitu kipo hapo kwa wanafunzi na kwa waajiri, kwa NBAA ukitaka vitu vidogovidogo mpaka ufunge safari wkenda zilipo ofisi zao hio sio sawa nendeni na mabadiliko, thats why hata mabadiliko ya syllabus yenu mme copy eveything kutoka Acca as if nyie vichwa vyenu havifanyi kazi badilikeni bwana, anzeni na hio web yenu then mfumo na muwe mna communicate na wanafunzi wenu na waajiri nini mna plan kwa baadae na vile vile mnaweza kuwa na sehemu ya kupata mchango wa mawazo kutoka kwa members
 
Wasomi wa Tanzania wako kwenye GPA na sio kwenye ubunifu mkuu, usishangae bodi kunakili kila kitu toka ACCA kwenye syllabus yao mpya iliyoansa mwaka 2014.

Kuna kipindi nilisikia mkuu wa Google akisema wao hawaajiri watu wenye GPA kubwa bali wabunifu.

Utashangaa bodi ya uhasibu kua na watu waliofaulu vizuri uhasibu na mambo mengine lakini wakakosa ubunifu katika mabadiliko ya kanuni za uhasibu katika mtaala wao mpya hadi wakanakili kila kitu kama unavyosema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom