NBAA haijaundwa kuendeleza wahasibu bali kuwadidimiza

Mkuu idaz nimetoa ushauri tu kwa mtu anayeikandia bodi kuwa inatunga mitihani isiyojibika.......mimi karibu nitakuwa retired FCPA
Nimekuwa genera.. tu ndachuwa,ukweli CPA wa copy maswali ya ACCA,so CPA haez fanana na ACCA.
 
Mi Nina rafiki yangu aliichomoa cpa ndani ya mwaka mmoja Tu tena aliunganisha kamaliza Chuo 2010,2011 kapiga cpa na akatusua actually jamaa alikuwa kichwa maana tokea primary alikuwa anatuburuza
 
Ushauri tu:Ukitaka kufaulu mitihani ya bodi kama we ni mfanyakazi: review zinapoanza tu soma kila siku kutwa mara mbili ili vitu vikae kichwani,sa ngapi?hapo ndo inabidi ku sacrifice...
Haufanyi kazi soma kila siku as much as you can,
Mambo ni mengi sana kucover ndani ya muda mfupi
mitihani ya bodi lazma uumie
 
Ndugu watanzania na wahasibu wenzangu , napenda kuchukua nafasi hii adimu kwa kueleza kilio changu kuhusu hii bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu Tanzania (NBAA).

kWA KWELI BODI HII IMEUNDWA SI KWA LENGO LA KUENDELEZA WAHASIBU BALI KUWADIDIMIZA NA KUWAKANDAMIZA KABISA WASIWE WENGI KATIKA NCHI HII.

Wewe embu fikiria, mtu anafanya mitihani ya Module F kwa miaka kumi (10) na hapati hiyo CPA. Unafikiria nini hapa ?
Mwengine anakuja kupata hiyo CPA amebakisha miaka mitano tu ili astaafu. Hivi hii CPA maana yake nini ? Hivi wanaisoma CPA ili waende kuitumia Duniani au kuitumia kaburini? Sasa iweje kuipata kwake iwe mbinde ?

Tangu NBAA ianzishwe mwaka 1972 walioipata hawavuki watu elfu nne(4,000) hii ni pamoja na walioipata na tayari wameshakufa. Hivi kusomea CPA na "udaktari wa upasuaji wa binadamu " ipi ni fani ngumu zaidi ? Iweje CPA kuipata inakuwa mbinde ?

Vyuo vyote nchini kwa mfano pale Mlimani ukiangalia idadi ya wanafunzi waliohitimu wakati chuo kinafunguliwa na mpaka sasa idadi ya wanafunzi waliohitimu imeongezeka na wamehitimu watu wengi zaidi, yaani maelfu kwa maelfu.
Lakini siyo kwa CPA ni miaka 50 sasa tangu tupate uhuru lakini walioipata hiyo CPA hawazidi elfu nne.

Nauliza hiivi, hii bodi imeundwa kwa ajili ya kuwaendeleza wahasibu au KUWAKANDAMIZA wahasibu ?

Kwanza ingetakiwa wakaze zaidi ya hapo kwa kuwa nyia wahasibu mlio wengi mnaishi maisha tofauti na vipato vyenu.
Mwenye kuelewa ameelewa ...
 
Kuna kitu hapa NBAA watakumbuka shuka kumekucha!! Hii syllabus mpya wali outsource watu wa ACCA kutoka UK, hivyo kwa sababu wao ni COMPETITOR wa CPA wakapendekeza masomo yawe 10 compulsory for any Graduate majoring in Accounting (Bachelor). ACCA wao kwa sasa wanacross border, tiyar wamejiimarishwa vzr nchini kenya (Hasa Strathmore Univ) watu hawataki tena CPA (K). Kwa sasa ACCA wako ktk mazungumzo na SAUT (Mwanza) na UDSM (Dar) kuanzisha teaching centre. Masomo ya sasa 10 ya CPA (T) yatamfanya mtu asione utofuti wa kutofanya ACCA, kwa sababu ACCA ni Global na CPA (T) is Limited by borders.

Kwani wingi wa masomo, achilia mbali gharama ilikuwa moja wapo ya kigezo kilicho punguza Watanzania wengi kufanya mitihani ya ACCA. Kwa sasa ni almost EQUAL/NO DIFFERENCE.

NGOJA TUONE ACCA wakae miaka 10 Tanzania kama NBAA mtapata wateja!!!
 
nani kasema CPA(T) is limited by borders??
Hujajua NBAA ni member wa international accounting bodies?
Hujajua pia wenye ACCA inabidi wafanye mitihani ya Tax ya CPA?
Likewise hata uwe na ACCA ukienda US lazma uisome tax system yao kwanza.....
CPA pia material mengi sana wanacopy ya ACCA,actually even vitabu vingi ni UK based,afu leo hii useme ACCA zaidi?
In my point of view naona wote wana qualify as long as mtu ni competent na anaweza kudeliver kwenye kazi yake...
Otherwise kwa setting ya kibongo CPA inakuchannel kwa wepesi kwenye profession ya uhasibu kuliko ACCA....
NAWASILISHA
I accept criticism
 
Mi nilikimbia siku nyng nikahamia kwenye uchumi, ingawa baada ya hapo walirahisisha kdg before 2005 ilikuwa taabu sana kupata CPA, lkn bado cpo tayari kurudi kwny CPA ngoja niende kwenye ACCCA, bado nautamani uhasibu wangu!
 
nani kasema CPA(T) is limited by borders??
Hujajua NBAA ni member wa international accounting bodies?
Hujajua pia wenye ACCA inabidi wafanye mitihani ya Tax ya CPA?
Likewise hata uwe na ACCA ukienda US lazma uisome tax system yao kwanza.....
CPA pia material mengi sana wanacopy ya ACCA,actually even vitabu vingi ni UK based,afu leo hii useme ACCA zaidi?
In my point of view naona wote wana qualify as long as mtu ni competent na anaweza kudeliver kwenye kazi yake...
Otherwise kwa setting ya kibongo CPA inakuchannel kwa wepesi kwenye profession ya uhasibu kuliko ACCA....
NAWASILISHA
I accept criticism

-CPA is LIMITED by borders, TRUE. Kuna lecturer aliwahi kuwa na CPA (K) haikuweza kukubaliwa chuo flani (Jina ninalo), huenda kama unapenda kujifariji tu endelea. Nenda Kenya na CPA (T) uone mziki wake.
-Kuwa member wa International Accounting Board si tatizo (wengine tumo kama wasindikizaji tu), tatizo nani superior juu ya mwenzie? ACCA member atafanya masomo 2 ya Tanzania ikiwa ni pamoja na Taxation kutokana na Syllabus mpya. Haya nenda UK/US kama watakubali ufanye Taxation tu!!
- CPA(T) wanakopi nakupaste (No creativity) maswali ya ACCA, hivyo kuto endenda na Syllabus iliyo kuwepo.
-NEVER compare ACCA with CPA(T), its like comparing Tanzania Vote with US/UK/Germany/Russia in UN security decisions
Aliemaliza mitihani ya ACCA, he/she is very competent than wa CPA (T). Most of CPA (T) questions are craming Qns (and/ Copy and paste from past papers and ACCA papers).

+ NIKUFARIJI TU KUWA KUNA EXCEPTIONS TU ZA WATU BINAFSI, KUTOKANA NA JUHUDI ZAKE MWENYEWE.
 
-CPA (K) siwezi izungumzia sana mana sijajua utaratibu wao ukoje, practically
pia labda nifanye analysis kidogo kujua CPA (T)'s wakicross borders wanakuwa treated vipi
-ila theoretically,CPA(T) is very competent as well any where in the world kutokana na agreement za International Accounting Bodies,actually syllabus mpya itaongeza exposure ya CPA (T) in the international stage...
-Nani zaidi btn the two is more like choosing between PEPSI and COKE
-Bringing US in the picture hapo ndo it's obvious US CPA is superior than ACCA and CPA(T) mana wale entry requirement zake ziko juu mno,4 years ya bachelor degree au equivalent ya masters plus work experience si mchezo....
Unlike ACCA hata after high school nadhani mtu unaweza ianza,CPA (T) unaweza anza pia but mwenye advantage ni mwenye bachelors ya bcomm accounting....
-mwenyeweee umesema na wote tunajua CPA (T ) wanacopy n paste material ya UK,ina maana kila wanachojua ,au IFRS na IAS wanazotumia wa ACCA CPA T anazijua hizohizo,sasa superiority ya ACCA OVER CPA inatoka wapiii....????.i dont get it,mana wote mnasoma the same concepts....labda tu ACCA hana tax ya bongo...
Labda tu mtu aseme ACCA wanaweza kusoma watu from many countries across the world unlike US CPA and CPA T ambayo unaiosma kwenye nchi husika tu.....
-ukisoma CPA T unakuwa competent sana tu naamini,given a chance you can discuss accounting matters at a professional level wether in Tanzania or else where in the world....
Ukienda nchi za watu obviously customization ya vitu kama kodi ni lazma,otherwise accounting ni ile ile
Nawasilisha...
 
-cpa (k) siwezi izungumzia sana mana sijajua utaratibu wao ukoje, practically
pia labda nifanye analysis kidogo kujua cpa (t)'s wakicross borders wanakuwa treated vipi
-ila theoretically,cpa(t) is very competent as well any where in the world kutokana na agreement za international accounting bodies,actually syllabus mpya itaongeza exposure ya cpa (t) in the international stage...
-nani zaidi btn the two is more like choosing between pepsi and coke
-bringing us in the picture hapo ndo it's obvious us cpa is superior than acca and cpa(t) mana wale entry requirement zake ziko juu mno,4 years ya bachelor degree au equivalent ya masters plus work experience si mchezo....
Unlike acca hata after high school nadhani mtu unaweza ianza,cpa (t) unaweza anza pia but mwenye advantage ni mwenye bachelors ya bcomm accounting....
-mwenyeweee umesema na wote tunajua cpa (t ) wanacopy n paste material ya uk,ina maana kila wanachojua ,au ifrs na ias wanazotumia wa acca cpa t anazijua hizohizo,sasa superiority ya acca over cpa inatoka wapiii....????.i dont get it,mana wote mnasoma the same concepts....labda tu acca hana tax ya bongo...
Labda tu mtu aseme acca wanaweza kusoma watu from many countries across the world unlike us cpa and cpa t ambayo unaiosma kwenye nchi husika tu.....
-ukisoma cpa t unakuwa competent sana tu naamini,given a chance you can discuss accounting matters at a professional level wether in tanzania or else where in the world....
Ukienda nchi za watu obviously customization ya vitu kama kodi ni lazma,otherwise accounting ni ile ile
nawasilisha...

haya bana kazi kwako. Subiri acca waje waote mizizi tz ndio utaamini. Kwa sasa iko uk ila wabongo wanayo tiyari na wengine wanaifuata.
 
haya bana kazi kwako. Subiri acca waje waote mizizi tz ndio utaamini. Kwa sasa iko uk ila wabongo wanayo tiyari na wengine wanaifuata.

lengo ni kuangalia hili jambo vizuri,tuelimishane na na tutoe conclusion ...
Twende na facts dear,hata wewe mwenyewe em nipe mwanya liveee ambao unaonyesha ACCA anajua sanaa kuliko CPA T...considering wote wanasoma accounting hyo hyo...
Hata me hili jambo nimekuwa nikilifikiria muda sana,sijajua bado ipi zaidi naona zote zina nafasi yake kwenye profession ya uhasibu..
Otherwise wengine watasema pia
 
Afu Invisible na Moderator mpango wenu wa kutoa herufi kubwa to ndogo na hadi kuedit maneno tunayopost mi sijaupenda mwenzenu...
Mnapoteza ladha ya msisitizo wa maneno,na mnapotusahihisha tunachopost manake nini jmn,
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu hapa NBAA watakumbuka shuka kumekucha!! Hii syllabus mpya wali outsource watu wa ACCA kutoka UK, hivyo kwa sababu wao ni COMPETITOR wa CPA wakapendekeza masomo yawe 10 compulsory for any Graduate majoring in Accounting (Bachelor). ACCA wao kwa sasa wanacross border, tiyar wamejiimarishwa vzr nchini kenya (Hasa Strathmore Univ) watu hawataki tena CPA (K). Kwa sasa ACCA wako ktk mazungumzo na SAUT (Mwanza) na UDSM (Dar) kuanzisha teaching centre. Masomo ya sasa 10 ya CPA (T) yatamfanya mtu asione utofuti wa kutofanya ACCA, kwa sababu ACCA ni Global na CPA (T) is Limited by borders.

Kwani wingi wa masomo, achilia mbali gharama ilikuwa moja wapo ya kigezo kilicho punguza Watanzania wengi kufanya mitihani ya ACCA. Kwa sasa ni almost EQUAL/NO DIFFERENCE.

NGOJA TUONE ACCA wakae miaka 10 Tanzania kama NBAA mtapata wateja!!!

U're wrong bro...achana na izo theory..iache cpa iitwe cpa
 
Kumbukeni kufaulu CPA au acca sio mwisho..u need to work not less than 3 years tena chin ya uangaliz wa mentor..so kimsing sion sababu ya ubishani..as long as wote mtakua kwny benchmark moja wht matters ni technical competence ya mtu..we kama unaweza soma cpa kama utak soma acca they are both gateways into being a professional accountant..ndo mana kweny matangaz ya kaz wanaandika cpa/acca/cfa ..etc
 
Kaza n'nya dogo unafikiri maisha urojo! Google hata CPA ya marekani uone habari yake! Gangamala otherwise maisha nayo yakikupiga sijui utamlilia mkeo! Kuna madogo ndani ya mwaka wanalamba CPA sasa wao wachawi! Usipoijulia mitihani ya professional lazima uchonge ngenga kijana! Dogo langu limebakiza Contemporary Issues in Accounting alambe CPA wewe unalialia! Kaza n'nya hiyo wewe!!
Hahah aisee ukweli mtupu

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom