NBA yamesimamisha ligi kwa sababu ya Coronavirus

Nasikia wanaenda kaa kikao... Arsenal tayari wana 2 cases,Arteta na Auba... Chelsea pia wana odoi na rudiger... Na pia nasikia kuna cases nyingine kwa timu zingine.... Hakuna namna ligi itabidi isimame... Ngoja tuone watakuja na majibu gani baada ya hicho kikao.
Asimamishe tu maana unajua unaweza zuia mashabiki kumbe unaambukiza wachezaji kwa wachezaji kama Rudy alivyowafanyia wenzie bado kuchezesha league kipindi hiki ni hatari mno.
 
Christian woods mchezaji wa Detroit pistons nae ame test positive Corona virus. Anakuwa mchezaji wa tatu wa nba. Serge ibaka amewekwa quarantine ya wiki mbili
 
Christian woods mchezaji wa Detroit pistons nae ame test positive Corona virus. Anakuwa mchezaji wa tatu wa nba. Serge ibaka amewekwa quarantine ya wiki mbili

Noma sana, hii kitu kwa sisi tunaofatilia michezo nadhani tunaiona impact yake very direct.
 
Inaelekea Wachezaji wengi hawataki kucheza tena ili kumalizia msimu. Wanadai itapunguza nguvu kwenye mapambano ya #BlacklivesMatters hivyo wengi wanapinga kurudi na pia hawapendi huo mfumo wa kuchezea Orlando siku nzima ni mechi kati ya timu mbali mbali na kisha wengiwanataka kama watakwenda waende na wake zao watoto na maGFs na Orlando sidhani kama kuna facilities za kuaccomodate wageni wengi kiasi hicho. Msimu uko kwenye hati hati. Tusubiri tuone lakini kama watarudi basi tarehe rasmi ya kuanza games ni July 31st.

Wakuu leo nimeona fox news wakisema kwamba NBA inarudi kuanzia July mwaka huu BAK Don Clericuzio Mchizi Mag3 Nyani Ngabu Joseph 2018
 
Inaelekea Wachezaji wengi hawataki kucheza tena ili kumalizia msimu. Wanadai itapunguza nguvu kwenye mapambano ya #BlacklivesMatters hivyo wengi wanapinga kurudi na pia hawapendi huo mfumo wa kuchezea Orlando siku nzima ni mechi kati ya timu mbali mbali na kisha wengiwanataka kama watakwenda waende na wake zao watoto na maGFs na Orlando sidhani kama kuna facilities za kuaccomodate wageni wengi kiasi hicho. Msimu uko kwenye hati hati. Tusubiri tuone lakini kama watarudi basi tarehe rasmi ya kuanza games ni July 31st.
Wangefanya irudi october tu alisikika shabiki wa GS akisema hivyo.
 
Mwelekeo naona kwa sasa ni huo na hasa ukitilia maanani kwamba idadi ya walioambukizwa na COVID-19 imeanza kupanda tena katika baadhi ya States za USA wachezaji wanaweza kutumia hiyo kama sababu nyingine ya kutomalizia msimu huu. Na Florida ni moja ya States hizo.

Wangefanya irudi october tu alisikika shabiki wa GS akisema hivyo.
 
Mwelekeo naona kwa sasa ni huo na hasa ukitilia maanani kwamba idadi ya walioambukizwa na COVID-19 imeanza kupanda tena katika baadhi ya States za USA wachezaji wanaweza kutumia hiyo kama sababu nyingine ya kutmalizia msimu huu.
Nitafurahi huu msimu ukiisha bira kupata mshindi wowote wala MVP maana wengine team zetu ni mbovu zitakaa sawa msimu ujao wadau wa clippers na lakes watanisamehe haya ndio maombi yangu 😆
 
Patrick Beverley amtupia dongo LeBron James.

Screenshot_20200615-172034_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom