And it's a very big problem.Just woken up a sleeping GIANT....gO La!
And it's a very big problem.Just woken up a sleeping GIANT....gO La!
Mbona naona watu wapo mute kabisa kutoa credit kwa mabingwa watetezi kwa ile late run ya jana?......Orlando mimacho iliwatoka! Series inaisha next game!! Go Celtics!
Game ya juzi QM alipiga kelel sana na Bet yake,anahitaji tuweke kwenye account yake,its too early you can't go wrong with da Lakermania.
Kobe ni best mkuu hakuna cha lebron wala nini.....muulize Ron Artest alivyofanywa mpaka akataka kupigana.........Kobe Bryant is more skilled than any player currently in the NBA, lakini ana damu ya kunguni. wapenzi wa basketball, pamoja na waandishi wa habari, hutokea kumchukia tu bila sababu yoyote ya msingi.
KOBE ni mkali but kwa sasa nafikiri Lebron James anamfunika
come on celtics........tunawasubiri cleveland katika eastern fainal,maana leo tunamuuwa howard na magic.then bring on LA.
come on celtics........tunawasubiri cleveland katika eastern fainal,maana leo tunamuuwa howard na magic.then bring on LA.
As I said before, this series is too far from over. The Lakers are not as good as they have been potrayed, and that is the reason they are on the brink of elimination . The Rockets are hungry and it seems like they are more enthused compared to the Lakers. Go Rockets
No the Lakers are as good as they've been cracked up to be. It is the Rockects who have been underestimated by the know it all pundits. But don't get it twisted. Kobe and the Lakers are going to show out and win on Sunday. As Rasheed Wallace would put it...'that's a guarantee'....