NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Ok Time out now.........for both of you...what is the really reason ya nyie kuanza kutupuana maneno lakini eeh...............It doesnt worthy it period....Nyie ni friends and mnawapa faida tuu watu hapa jamani....please you two really need to stop this yadah yadah yadah!........

Haya Cuppy stop it now and you......... YNIM also need to stop arguing....why lakini eeh why?.....manatupiana maneno hivi then msije mkakutana .........one on one one day alafu mkapigana visu kama akina Raymond kapalata au incident kama za akina Walter Mazula hapa...

Hahahahaaa..don't worry Cuppy. I got this one. Anajifanya ananijua kitu ambacho kwa kweli ni kichekesho kushinda hata ile video aliyobandika Yo Yo hapa.

Na mchallenge kama anadhani ananijua, ataje mimi ni nani na niko wapi na ninafanya nini maana kila kitu mpaka sasa anachodai ni hola!!

Bwana YNIM, the floor is yours. Tell everything that you "think" you know about me...everything that si gonna mortify me....say it....
 
Heheheheheee...kama unanijua hivyo hebu mtaje huyo demu wangu unayedai watu wananibandulia. Dogo hunijui kihivyo. Acha kuwa kichekesho bana...Lol....unaanza kufanana na nanihino sasa....

Sijui umeingiwa na nini tu wewe dogo. Kama maisha yamekushinda si urudi nyumbani tu...aaah

Unaonekana ni mtu mwenye ma frustration kibao. Sijui umedunda shuleni au vipi....whatever you're going through...pole sana

Kwanza hamna sehemu yeyote nilosema nakujua...sina shida ya kukujuwa wewe au **** yeyote hapa JF! Mie nipo kivyangu na sina sababu ya kujuana na mijitu mimbeambea, yenye tabia za kike kama wewe na Kishoka....Mambo yangu ya shule, sijui frustrations and blah blah blah hayakuhusu....kwanza nilidhani mie ni nesi, sasa mambo ya shule yanaingiaje tena? Ujinga ujinga wako wapelekee huko na sio kwangu..kuanzia leo, kaa mbali kabisa na mimi!!! Ndio hiyo....
 
- Wakulu wangu Nyani na YNSIM inatosha kwa leo, turudi kwenye NBA playoff!

Respect kwa wote wawili. Haya wakuu leo Boston na Magic vipi game 5?

FMEs!

Let not your heart be troubled my friend. I got this. Ngoja nimfundishe dogo adabu. Atajuta kwa nini kaanzisha zali....
 
Kwanza hamna sehemu yeyote nilosema nakujua...sina shida ya kukujuwa wewe au **** yeyote hapa JF! Mie nipo kivyangu na sina sababu ya kujuana na mijitu mimbeambea, yenye tabia za kike kama wewe na Kishoka....Mambo yangu ya shule, sijui frustrations and blah blah blah hayakuhusu....kwanza nilidhani mie ni nesi, sasa mambo ya shule yanaingiaje tena? Ujinga ujinga wako wapelekee huko na sio kwangu..kuanzia leo, kaa mbali kabisa na mimi!!! Ndio hiyo....

Sasa kama hunijui ni demu wangu gani wanayenibandulia? Kama unamjua huyo demu wangu basi na mimi utakuwa unanijua, si ndiyo bwana Chinkala? Au?
 
Hahahahaaa..don't worry Cuppy. I got this one. Anajifanya ananijua kitu ambacho kwa kweli ni kichekesho kushinda hata ile video aliyobandika Yo Yo hapa.

Na mchallenge kama anadhani ananijua, ataje mimi ni nani na niko wapi na ninafanya nini maana kila kitu mpaka sasa anachodai ni hola!!

Bwana YNIM, the floor is yours. Tell everything that you "think" you know about me...everything that si gonna mortify me....say it....

Nani alieanza ku-act kama anamjua mwenzake!? Nani alieanza kutaja kazi ya mwenzake (supposedly) hapa kwenye board, nani ana mwita mwenzake mlevi kila siku!? Ni nani hasa anaejifanya kujua sana maisha ya mwingi....you guess it right, ni wewe hapo!!Watu wamekuachia sana, na mie pia nimekuvumilia sana, lakini mitusi yako ya mapema leo nikasema basi na iwe mwisho.....kaa mbali na mimi, acha kufuatilia maisha ya watu na uanze ku-take care business zako hasa unyumba na sio kushinda JF kutwa kucha!!! Kamongo mkubwa we....
 
Heheheheheheheeee.....nimekugusa leo eeeh....ahahahahahahaaa swaaaaafi sana. Sasa ukome.

Halafu Kishoka anaingiaje hapa? Mchungaji wa watu hana hata time na wewe lakini umekomalia kutaja jina lake au na yeye huwaga unamuota usiku?

Eti nikae mbali na wewe....puhleaze...naona unajiongelea mwenyewe hapo bwa'mdogo.
 
Sasa kama hunijui ni demu wangu gani wanayenibandulia? Kama unamjua huyo demu wangu basi na mimi utakuwa unanijua, si ndiyo bwana Chinkala? Au?

Eti "ebu niachie nimfundishe adabu"!! vipost kama hivyo ndii vitamfundisha mtu adabu!?? Hahaha, kwanza kajifundishe adabu wewe mwenyewe na familia yako kabla hata ya kuthubutu kusema utamfundisha adabu mtu mwingine esp. me!!! Pumbavu sana wewe....Sina haja ya ku-prove nini wala nini, wewe nenda kafanye DNA, utaona kuwa mtoto wa Tyrone na sio wako...
 
With these parting words "ACHA UMATONYA", I say adios amigo.
 
Heheheheheheheeee.....nimekugusa leo eeeh....ahahahahahahaaa swaaaaafi sana. Sasa ukome.

Halafu Kishoka anaingiaje hapa? Mchungaji wa watu hana hata time na wewe lakini umekomalia kutaja jina lake au na yeye huwaga unamuota usiku?

Eti nikae mbali na wewe....puhleaze...naona unajiongelea mwenyewe hapo bwa'mdogo.

Hujamgusa mtu yeyote, ila mie ndio nimepata kisa cha kukutolea uvivu...sidhani kama utarudia tena kunitukana mtu kama mimi ******* wewe, ambae huwezi kumridhisha demu wako mpaka madume mengine yanakusaidia! Yote hiyo ni kwasababu ya kushinda JF 24/7.....
 
Nani huyo demu wangu si umtaje basi kama unajua? Nimekupa ruhusa...au rukhsa...mtaje huyo demu wangu ambaye simridhishi. Mtaje mtaje huyo demu wangu.

Eti sitarudia tena kukutukaana. Okay, mboga ya majani ya babu yako mzaa babako. Now what bibi YNIM? Au recourse yako ni kukimbilia kwa Invisible?
 
With these parting words "ACHA UMATONYA", I say adios amigo.

Najua kuwa huta thubutu tena kunitukana kima we....ujinga ujinga wako huko huko kwa wapuuzi wenzako na usiniletee mimi!! Mjinga kabisa wewe, na uache kushinda JF, acha umbea ama sivyo watu wataendelea kukubandulia mademu zako na utaendelea kulea watoto wa kina Tyrone.....haya sasa ukakojoe ukalale!! Hahahaha wanasema ngoma ya kitoto haikeshi, ulimi huoooo kama jibwa koko!! Uchekibob wako wa kwenye internet huko huko.....pumbaf ambae hujafunzwa adabu na wazazi wako!
 
Hahahahahaaa...duh...una hasira sana leo wewe. Hehehehehe....narudia tena, mtaje huyo demu wangu wanaemmega. Kwani kuna ugumu gani kumtaja. Si useme tu anaitwa, kwa mfano, Sharon Mlugaluga....kuna ugumu gani hapo babu. Nitajie basi huyo demu wangu la sivyo ukishindwa nitajua kangala ndio inaongea.
 
kimemsibu nini huko alipo? maana jamaa kama moto wa kifuu from nowhere kalianzisha....

Kaishiwa school fees kwa hiyo wamemkatalia kujiandikisha kwenye madarasa ya mwaka ujao wa masomo...sasa atakuwa out of status na kurudi bongo hawezi. Umenisoma?
 
Jamaa ana hasira utadhani nimemchukulia demu wake bana...lol

Ila kweli jamaa aache hasira na wivu...

Nani akuonee wivu mtu kama wewe bana aaaagh, wivu kwa kushinda JF 24/7, wivu kwa huo umbea wako na majungu? wivu kwa kukaziwa mkeo? wivu kwa kulea mtoto wa Tyrone? wivu kwa hiyo mitusi unayotukana hapa JF? Wivu gani sasa nikuonee wewe.....? au siku hizi neno wivu lina maana nyingine?? Fafanua...
 
Pole na shida za maisha. Kaza buti na usikate tamaa. Piga double double utapata angalau hela ya kutosha kujiunga na ka Community college
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom