NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Endelea basi na mitusi yako tuone kama itamtoa mtu kidonda.....wewe na yule Kishoka kazi yenu majungu tu! Kama mademu bana aaaagh, inakera sana midume inapokuwa na mambo ya saloon za kutengeneza nywele za mademu....
 
Yani tangu tumepigwa sweep na Cleveland naona wakulima wa Ohio wanasherekea kama wameshachukua ubingwa.
verimagen.php

na ile trupu ya maceleb kuipa nguvu hawks bado tu wakala kibano......
 
Nilidhani uta-battle, kumbe mtu mwenyewe ni "girlieman!!" Acha kuzoeazoea watu hovyo kwenye net.....uwe na life pia sio umbea kutwa kucha hapa JF!

Na log out....kama kawaida yako utaanza kuongeaongea mie nikiwa sipo! Mchumba tu wewe....
 
Kwasababu unashinda JF 24/7....maisha yako yote yanazunguka na JF, sehemu kubwa ni umbea na kuropoka juu ya watu wengine ili mradi tu uonekane umeongea na unajua juu ya maisha ya watu! Mpuuzi sana wewe...

Endelea basi na mitusi yako tuone kama itamtoa mtu kidonda.....wewe na yule Kishoka kazi yenu majungu tu! Kama mademu bana aaaagh, inakera sana midume inapokuwa na mambo ya saloon za kutengeneza nywele za mademu....

Wewe si starring wa matusi hapa JF, endelea basi kutukana tuone mwisho wake itakuwaje...ujanja wako ni hapa hapa JF tu na ndio maana hutoki! Kijana mzima lakini una mambo ya kizamani tena ya kike....kazi umbea umbea tu kutaka kujua maisha ya watu! Hoooovyo sana...

......i guess so! Kimyaaaaaaa kama a lil' bitch! what?

Nilidhani uta-battle, kumbe mtu mwenyewe ni "girlieman!!" Acha kuzoeazoea watu hovyo kwenye net.....uwe na life pia sio umbea kutwa kucha hapa JF!

Na log out....kama kawaida yako utaanza kuongeaongea mie nikiwa sipo! Mchumba tu wewe....

Kwikwikwikwikwiiiiii....
 
YNIM huwa anachanganya matapu tapu hata yeye lazima aje ajishangae alichokuwa anakiandika....dogo ni wakati uachane na local brew....angalia wenzako
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Y_WlP2Dk4zE&feature=related"]YouTube - Gravedigger[/ame]
 
Hivi Rocket na lakermania ni tie eeh 2-2 au? alafu when is the next game?

Hii itaenda mpaka game 7 alafu ya 7 tutawatundika.kama ilivyoandikwa kwenye Psalm 35:2 "Njooni nyie msumbakao naye atawapumzisha".
 
Ni kipi hapo kinachokufanya ujichekeshechekeshe kama mlupo unao jiuza..!? Kuwa kama dume na mambo ya kike waachie wanawake wenyewe....umbea tu kufuatilia maisha ya watu!!Acha kukaa JF 24/7!!!

Kilichonifanya nicheke ni wewe kuendelea kugombana peke yako.Lol

Nafuatilia maisha ya nani mimi wewe? I have too big of an ego kufuatilia maisha hususan ya mjinga mjinga kaa wewe. Nani namfuatilia na kwa faida gani na ya nani?

Wewe ndio unafuatilia maisha ya watu. Kila kukicha unani monitor hapa JF....eti nashinda hapa 24/7....umejuaje hilo kama hunifuatilii. Uko mjinga kweli wewe.

Kila kukicha unanitumia PM ukilia lia eti ma mods wanafuta posts zako na kudai unaondoka. Mbona bado uko hapa. Na unavyotuma PM kulia lia unataka nini? Unataka nikubembeleze?

Kweli umeishiwa wewe mbeba mataulo ya Hasheem.....lol
 
Kilichonifanya nicheke ni wewe kuendelea kugombana peke yako.Lol

Nafuatilia maisha ya nani mimi wewe? I have too big of an ego kufuatilia maisha hususan ya mjinga mjinga kaa wewe. Nani namfuatilia na kwa faida gani na ya nani?

Wewe ndio unafuatilia maisha ya watu. Kila kukicha unani monitor hapa JF....eti nashinda hapa 24/7....umejuaje hilo kama hunifuatilii. Uko mjinga kweli wewe.

Eti nabishana peke yangu bwahahahaha, wewe ni dume jike, kaazi yako umbea na kushinda JF 24/7.....
 
Heheheheheheee.....punguza hasira dogo na uache kunifuatilia. Umesikia eeeh?

Kwanza mie sio dogo, pili hivi ni nani alieanza kupayuka na kuvurumisha mitusi!? Kama unadhani mie na hasira basi unajidanganya sana, siwezi kumkasirikia mtu mbeambea kama wewe, mwenye tabia za kike, ambae watu wanambandulia demu wake, mwenye mambo ya kitoto, junya flani...ambae kutwa anashinda JF kupiga majungu na kufuatilia maisha ya watu asiowajua! Aibu tupu.....kwanza hata yule mtoto wako inabidi uka-check DNA, maana anaweza kuwa ni wa dume jingine!! Hahahaha unaweza kuwa unalea mtoto wa Tyrone....
 
Ok Time out now.........for both of you...what is the really reason ya nyie kuanza kutupuana maneno lakini eeh...............It doesnt worthy it period....Nyie ni friends and mnawapa faida tuu watu hapa jamani....please you two really need to stop this yadah yadah yadah!........

Haya Cuppy stop it now and you......... YNIM also need to stop arguing....why lakini eeh why?.....manatupiana maneno hivi then msije mkakutana .........one on one one day alafu mkapigana visu kama akina Raymond kapalata au incident kama za akina Walter Mazula hapa...
 
Eti nabishana peke yangu bwahahahaha, wewe ni dume jike, kaazi yako umbea na kushinda JF 24/7.....

Ok, sikiliza bwana mbeba mataulo ya Hasheem...unadai mimi nashinda hapa 24/7, unadai nafuatilia maisha ya watu, n.k. lakini mpaka sasa hujatoa uthibitisho wowote wa hayo unayoyadai.

Mimi nasema hivi, wewe huwa una tabia ya kunitumia PM ukilia lia. Ushahidi ninao na nitauweka hapa kuthibitisha. Changamoto kwako kuthibitisha hayo yote unayoyaropoka.
 
Kwanza mie sio dogo, pili hivi ni nani alieanza kupayuka na kuvurumisha mitusi!? Kama unadhani mie na hasira basi unajidanganya sana, siwezi kumkasirikia mtu mbeambea kama wewe, mwenye tabia za kike, ambae watu wanambandulia demu wake, mwenye mambo ya kitoto, junya flani...ambae kutwa anashinda JF kupiga majungu na kufuatilia maisha ya watu asiowajua! Aibu tupu.....kwanza hata yule mtoto wako inabidi uka-check DNA, maana anaweza kuwa ni wa dume jingine!! Hahahaha unaweza kuwa unalea mtoto wa Tyrone....

Heheheheheee...kama unanijua hivyo hebu mtaje huyo demu wangu unayedai watu wananibandulia. Dogo hunijui kihivyo. Acha kuwa kichekesho bana...Lol....unaanza kufanana na nanihino sasa....

Sijui umeingiwa na nini tu wewe dogo. Kama maisha yamekushinda si urudi nyumbani tu...aaah

Unaonekana ni mtu mwenye ma frustration kibao. Sijui umedunda shuleni au vipi....whatever you're going through...pole sana
 
- Wakulu wangu Nyani na YNSIM inatosha kwa leo, turudi kwenye NBA playoff!

Respect kwa wote wawili. Haya wakuu leo Boston na Magic vipi game 5?

FMEs!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom