NBA Original Thread: Basketball & Fun

Roll model....
20221223_223206.jpg
20221223_223328.jpg
20221224_174004.jpg
20221201_212943.jpg
20221128_211747.jpg
20221115_213346.jpg
20220825_124052.jpg
 
Attachments

  • 20221225_201240.jpg
    20221225_201240.jpg
    73.1 KB · Views: 2
Timu yangu GSW dubnation ni tia maji tia maji tu

Leo anapigwa kesho anapiga ni mwendo huo huo.

Labda wanasave nguvu za kucheza vizuri Playoff

Maana wakiingia playoff hesabuni maumivu.

But duuh

Shida IPO kwa benchi Players pia hawana impact kubwa.

Steph nae kama anachoka hivi Leo anakupa epic performance kesho anacheza kama MLA urojo.

Anyway ngoja tuone

So far hadi Sasa ni teamwork tu inatufanya tuwe pale japo hairidhishi.
 
Gsw msimu huu sio wao
 
Wakuu hebu nielezeeni kwa uzuri positions za wachezaji kwenye kikapu, namna ya uchezaji, n.k.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom