NBA: Anguko la Lebron James-Rising of new star ,Giannis

Nawasiwaasi na huyu jamaa kama anajua kikapu. Yani alimtilua mashaka up rising star.
Siku za nyuma nilikuwa namuangalia Zion Willuams kana nyota ibayokuga oka huhu doga kamfunika.
Giannis hakuna anayeweza kumkaba. Team ikiboreshwa zaidi tutarajie mengi.
Kikapu sio tu kwamba nina fatilia NBA pekee, mimi pia ni player so ninakijua kwa undani. Msingi wa Uzi wako ni kwamba Giannis amemfunika au kwa lugha nyingine ni mkali kuliko LeBron, kitu ambacho sio kweli.

Mwaka 2017 Kevin Durant aliingia finals against LeBron. KD akashinda his first championship na FMVP in 5 games. Mwaka uliofata, wakakutana tena kwenye finals KD na Warriors waka msweep LeBron (4-0), KD akapata second Ring na second FMVP. KD akawa kqa wengi ndiye mchezaji bora zaidi wa NBA kwa wakati huo. I repeat "Kwa wakati huo".

Ninachosema mimi ni kwamba Giannis ndiyo ameanza safari, bado hajafika. He has a long way to go ili kweli achukue mikoba kwa LeBron. Na kama ilivyokuwa kwa KD few years ago au Kawhi Leonard finals za mwaka 2019, Giannis anakua ni mchezaji bora kwa sasa. Lakini kumfunika LeBron bado.
 
Back
Top Bottom