Msimu huu zitakuwa 72 Badala ya 80 kwa sababu ya corona.Kutokana na janga la covid kuendelea kusumbua sekta mbalimbali hata mwaka huu kwa wapenzi wa NBA mechi zitakuwa chache kulinganisha na misimu iliyopita
Tupeane news and updates kwa msibu huu ambao ulianza mwishoni mwa mwaka 2020
View attachment 1736818
Teams ranked 7-10 will participate in the NBA Play-In Tournament after the regular season (May 18-21) to secure the final two spots in the Playoffs for each conference.Hii season nabashiri final play offs kuwakutanisha Utah Jazz na Brooklyn Nets.