Mkuu hapo kwenye blue unachosema ni sahihi kabisa hata mimi huwa kinanichukiza wakati mwingine, yaani hii tabia ya kuwalinda wachezaji masuper star huwa inaharibu sana radha ya mchezo, kwa maana inakuwaga ni sehemu ya sababu pale timu Fulani inapofungwa! hata kwenye football akina Rinaldo na Messi wakiguswa tu kidogo ni lazima refa atoe adhabu wakati huo kuna rafu zingine ambazo unaona zinafanana kabisa na ile aliyechezewa Messi ila tu kwa sababu amechezewa mchezi mwingine basi refa anaamua kupotezea!Kama wengine tulivyoahidi toka mwanzo, timu ikifanya vizuri tutaipongeza bila kisingizio chochote...hata hivyo jana niliamua tu kuwafuatilia wananvyocheza wachezaji wawili wa GSW, Stephen Curry na Draymond Green.
Stephen Curry nilimfuatilia baada ya kusoma tweets za wapenzi wa CAVs walivyochukizwa na kitendo alichofanya kushangilia 3-pointer ya KD mwisho mwisho wa Game 3 na kuwataka wachezaji wao kumshughulikia.
Draymond Green nilimfuatilia baada ya kusoma maoni ya baadhi ya watu wakiwashauri wachezaji wa CAVs kumwandama kwa sababu pamoja na kuwa defender mzuri anacho kinachoitwa short fuse anapohisi kachezewa vibaya.
Niliyoshuhudia Curry akifanyiwa hata akiwa hana mpira na Green anavyochokozwa akiwa na mpira naweza kusema CAVs waliamua kusikiliza na kutekeleza ushauri waliopewa mradi wapate ushindi na walifanikiwa sana kwa hilo.
Mimi silalamiki ila nashauri marefa wawe fair katika jukumu la kuwalinda wachezaji kama wanavyomlinda LeBron. Sijui ni kwa nini pamoja na kusukuma wazi wazi na kutembea na mpira zaidi ya hatua tatu hapigiwi filimbi.
Labda ni mimi tu na kwa hili natanguliza samahani kama nakosea, uchezaji wa Lebron wakati mwingine anachofanya akifanya mchezaji mwingine yeyote lazima foul itapigwa lakini si kwa King LeBron!
Maamuzi ya referees hata mama yake KD kayalalamikia. Game 5 itakuwa vute nikuvute ila kama CAVS wakianza vizuri quarter ya kwanza kama kwenye game 4 kwa kuweka gap kubwa basi kuna uwezekano wa kusteal at least one game in Oakland kwa hiyo kulazimisha game 5. Kama siyo KD ningeweza kusema CAVS watashinda the next 2 games.
Cavaliers wanaongozaJamani mrejesho wa game 5,niko mbali na duniani kwa sasa.
Huyu KD ndio tofauti ya hizi timuCavaliers wanaongoza
Yaah kwanza rebound zote wanashinda wao ila huyu KD ndio chachu ya GSWHuu mchezo umekwisha Mkuu. Tusubiri tu GSW wakabidhiwe kombe lao.
Kwa game inavyokwenda ni ngumu sana kwenda penye game 7 kama gsw wakiendelea kukaza na kuacha wastani wa vikapu 5 tofauti ni wazi hakutokuwa na 7.JR Smith naona bado anaota Game 7 na hizi tatu tatu zake anazotungua..
Yaah kwanza rebound zote wanashinda wao ila huyu KD ndio chachu ya GSW