Nazidi kupoteza imani na Lowassa kuwa Rais wa taifa hili

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
916
Tangu akiwa chama cha mapinduzi bwana huyu edward Lowasa amekuwa si mwadilifu kwenye utendaji wake hali ambayo imefanya nisiwe mfuasi wake katika siasa zake,

Baada ya kuwa amehamia chadema na kuanza kampeni Lowasa ameonesha kuwa mtu dhaifu kiafya na asiyekuwa na hoja kabisa ya kushawishi watu kiasi kwamba waweze kumchagua,

Binafsi sielewi Lowasa anasimamia hoja gani kwenye kampeni zake zaidi nasikia anataja matatizo yaliyopo kwenye jamii na kusema naomba kula.

mbaya zaidi mzee huyu ameshindwa kabisa kumudu jukwaa hata kwa dk kumi hali ambayo inafanya nizidi kukosa kabisa imani naye kuwa anafaa kuwa kiongozi.
 
naomba "kula" ndo nini.....hujaenda shule nini????
 
Hupati mtu humu nenda kachkue chupa ya bia ukaikali. .....e
 
attachment.php
 
Hawa CCM siwaelewi. Kutwa kucha kulalamika Lowassa hafai CHADEMA. Sijui wanataka nini badala ya kufurahia....ati mkeo anatongozwa na mtu na wewe umeambiwa huyo mtu ni khanithi bado unalalamika aaah jamaa khanithi atashindwa kula mke wangu.....plastic brains
 
Hata kama ni propaganda kwanini hata usijiandae ukaandika vyenye kushawishi??..eti anaomba kula..mpe chakula basi ana njaa
 
Hata wimbo wanaouimba watoto wa shule siku hizi barabarani wa 'elimu, elimu, elimu' nao huuelewi??

Basi kazi....
 
Mkuu,
Kitendo cha Mbowe kuuza chama ni sawa na kuivua chupi demokrasia hadharani.

Mmi nilijua kakuvua kyupi wewe kumbe ni chama?? Sasa wasiwas wako wa nini bro?? Cha msingi subilia ukwawa waingie ikuluu wewe uje kuwa mtunza bustani pale ila unaujuzii kwanza???
 
Back
Top Bottom