mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 543
- 1,829
- Thread starter
- #21
Gottsunda, uppsala mkuu...!!Mkuu hongera sana. Upo pande zipi hapo Uswid. Stockholm ana Umeå? Gothernburg Anna Linköping? I hope muda huu una enjoy joto la summer na kimvua cha hapa na pale. Hongera pia kwa kupata Scholarship. I hope unamega 10,000 SEK @ month sawa na 2.7M za kibongo.
Kumbuka kufanya savings. Tuma pesa kidogo home ila usisahau kufanya savings. Kwenye ile bank account unakuwa na account mbili ile ya kawaida na ile ya savings. Uwe unaweka pesa za matumizi kwenye account ya kawaida na savings kwenye account yake.
Kwakuwa ushapata personal number maana yake unaweza pia kufanya vibarua vya hapa na pale huku ukiwa unasoma. Ukisema unapatikana mji gani mie nitakushauri kibarua gani kitakuwa rahisi kuendana na masomo. Kila la kheri.!