Mwabhleja
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,339
- 2,000
Awali nilipoona mitandaoni wadau wakihangaika kutafuta line ya safaricom ya Kenya na wengine kulalamikia kudhulumiwa pesa katika harakati za kununua line hizo.
Sasa nilipoona ukubwa wa matangazo ya 1XBET na nilipoingia mtandaoni nikagundua ni moja kati ya kampuni kubwa sana duniani na wenye watumiaji wengi kutokana na kuweka machaguo mengi na odds zenye haki.
Nimebaki na swali Tanzania haipo hii kampuni, tunakwama wapi?
Yaani mtanzania anaenda kulipa kodi Kenya ili apate line ya Safaricom kisa 1XBET?
Ina maana sisi tumeshiba kodi itakayotokana na miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenda na/au kutoka 1XBET?
Au Wakenya wana nini haswa ambacho sisi hatuna?
Hata bajeti yao ni maradufu ya hii ya kwetu, au ukiritimba na kutokuitumia fursa kwa wakati ni chanzo cha kuitwa vichwa vya wendawazimu hata kwenye michezo?