Nay wa Mitego: Nyumba ya Mill 300 Diamond aliyonunua South Africa mimi nimejenga Tabata

Ney alianza kuharibu alipoanza kuimba nyimbo za kutukana na pumba zinazofanana na hizo

Diamond nae siku hizi anatukana sana tatizo ni nini
Wote tu wanaimba matusi na video pia, watoto mtaani wanazipenda nyimbo zao wanaziimba sana lakini hawajijui wanatamka maneno yana maana gani. Aibu unajiskia wewe mtu mzima unapomsikia mtoto anavyoimba matusi matusi.
-wasanii ni vioo vya jamii lakini ndio watu wanaoongoza kuiharibu jamii kwa kujua au bila kujua.
 
Wote tu wanaimba matusi na video pia, watoto mtaani wanazipenda nyimbo zao wanaziimba sana lakini hawajijui wanatamka maneno yana maana gani. Aibu unajiskia wewe mtu mzima unapomsikia mtoto anavyoimba matusi matusi.
-wasanii ni vioo vya jamii lakini ndio watu wanaoongoza kuiharibu jamii kwa kujua au bila kujua.
Labda wanahisi nyimbo zao ndo zitapendwa zaidi
 
Siwezi kukubishia!
Uko sawa
Maana Uzuri wa Jambo upo machoni mwa mtu,
Kwanini tubishane njoo kijichi utembee tembee

Ukiwa na 100 na kiwanja yani unatoa nyumba kali sna sasa ukizungumzia miatatu sio mchezo hasa kwa sisi tunaopenda nyumba nzuri sio ili mladi nyumba nzuri

NB KMA HUNA NYUMBA NA HUJAWAI KUJENGA AU UNAONA WANAJENGA HUWEZI ELEWA BUT 300 MLN NI MZIGO MKUBWA KWA NYUMBA TENA MKUBWA HASWA
 
Kwanini tubishane njoo kijichi utembee tembee

Ukiwa na 100 na kiwanja yani unatoa nyumba kali sna sasa ukizungumzia miatatu sio mchezo hasa kwa sisi tunaopenda nyumba nzuri sio ili mladi nyumba nzuri

NB KMA HUNA NYUMBA NA HUJAWAI KUJENGA AU UNAONA WANAJENGA HUWEZI ELEWA BUT 300 MLN NI MZIGO MKUBWA KWA NYUMBA TENA MKUBWA HASWA

300 million?
Is it a lot of Money??
I don't know!
Tuachane nayo mkuu!
Hayo yalikuwa mawazo yangu, whether you agree or disagree, you are right!
This is platform ambayo kila anatoa mchango wake!! Its ok
 
Imekuwa ni kawaida wasanii wa bongo kuleta uongo,kusema nina hiki na kile,wakati hawana chochote.huyu msanii ney wa mitego ana mambo ya uongo sana,akihojiwa na na kituo cha redio cha clouds fm,akasema anamiliki majumba,magari mashamba,na saluni.ukweli ni kwamba huyu jamaa ana nyumba moja tu,na gari moja ambayo anatembelea.lakini hana vitu hivo vingine anavyosema.mfano kujua hana mashamba ni pale alipoulizwa mahali yalipo,hakujibu zaidi tu alijiumauma tu.hata ukimuuliza hizo nyumba zilipo,atakutajia moja tu ,wasanii wa bongo ni waingo kupindukia sana
 
Nafuu Ney-yule aliyepata ajali maeneo ya Iringa ndio funga kazi.
...anaitwa Tundaman kama sijakosea
 
Kuna wenye mila zao....kuna mila zingine ukisema huna na kweli utaishia masikini na ukisema unazo ndio unajitabiria utajiri.

Hata baadhi ya Wahubiri husisitiza hayo...huenda Nay ni mfuasi wa moja kati hayo mawili.
 
ney amezimwa na basata huwezi amini...jamaa ana adabu kinoma mitusi yote byebye
 
Bongo wapo watu wana nyumba za hadi bilioni 2 -3, shida ni pale,HII YA BILIONI 3 BONGO ambayo hata haina mazingira mazuri huduma muhimu barabara mbaya, NDIO KULE SOUTH WANANUNUA KWA HIYO MILIONI 300 -500 na zina huduma zote muhimu kwa binadamu na zipo kwenye maoneo ya KITAJIRI.
So kweli south afrika kumiliki nyumba au ardhi so jambo dogo huwezi ukasema bongo nyumba ni ghali kuliko south
 
Milioni 300 ikiwa mfukoni Sawa but kwenye ujenzi hiyo si pesa Wala nn kwa wanaojua gharama Za kujenga na hasa kujenga nyumba nzuri sio vibanda
 
Mimi nakubaliana na NAY wa Mitego! Nyumba ya Millioni 300 ni ya kawaida sana!
Mfano halisi:
Kiwanja tu eneo zuri mara nyingi haipungui 15millioni: na ukisema upate hekari moja gharama inazidi zaidi!
Kujenga Nyumba mpaka Size ya Kupaua: haiwezi pungua 30million (1master, 2bedrooms, 1 public, dining and sitting room) na hapo nyumba haijafuata standards, Ninaposema Std kwa mfano Master inabidi iwe SUIT( Full au wanaita Studio)
Ukiweka Jamvi Gharama zitazidi: Zinaweza kufika 40million
Highlight: Tofali 3500-4500 @1000 bila usafiri, Mchanga lori moja @ 250,000 Kokoto Zimepigwa marufuku, so ukisema uagize semi kutoka Moro ni almost 3,000,000 @ Mchanga umepigwa marufuku baadhi ya Maeneo!
NondoTani moja (96pcs} ni 1,500,000 na inategemea Ramani yako!

Hapo Hujafika ktk Bati; Bati Stnd kabisa Nzuri Nyingi zinaanzia 18,390-24,000 @metre hapo hujui utahitaji pcs ngapi ingawa Nyumba Nyingi zina Eneo kuanzia 100 sqm mpaka hadi 400 sqm n.k

Ukija Mbao, Ni Gharama sana! Kwa Mfano tu Mdogo, Mrunda 1 pcs @7500, Na Mbao zingine zinauzwa kwa futi
Hujafika Misumari ambayo unakuta 3'' $ 4 ambayo ni 3500-4000 per Kilo

Cement unaweza ukatumia even more than 100bags @12,000

Hatujalipa Mafundi hapo! Hatujanunua Maji!

Finishing:
Tiles nzuri kabisa ni kuanzia 30,000 per box na nyingi zina 30cmx30cm, utajua wewe una eneo kiasi gani, hapo sijaweka Rafu
Frame za milango na Milango @minimum 500,000
Dirisha Moja kukamilika @ minimum 500,000
Hujafanya wiring pamoja na plumbing it can cost more than 2m
Ceiling board, blundering! Mbao balaa!!!!!!!!!
Hujapiga Plasta
Hujaweka Vyuo
Mabafu
Hujapiga rangi
Hujaweka Samani ndani

Hivi hiyo Millioni 20 au 18 ni ya kununulia kiwanja au Kujenga mpaka Lenta?????

Tusipende kubishana na watu waliothubutu kufanya Mambo! Wanafahamu!

Swimming pool ya kawaida kabisa kawaida ni 40millioni!

Tunaposema Nyumba, Ni Nyumba yenye Std, siyo Mnasubiriana kupishana!

haya ni maoni Yangu!
Duuh iv unajali muda wako kweli
 
Hawa watoto wa clouds hawana exposure ........nyumba ya 300 inawezekana kabisa especially kutegemea na size in SQM, na factors kama slab na finishing
Ila pia nyumba za milioni 25 ni zile za kawaida kabisa ambazo superstar hawezi kuonyesha ,ni nyumba ya tofali 3000 hadi 3,500 kila kitu
 
Kila mtu siku hizi bila kujilinganosha na domo haoni kama yupo juu, hii inaonyesha mond ni tabaka la juu, huwez kua bora kama hujamfikia
 
3000 m natoa nyumba 12 kwa Mkoa wa Moro na nitakua anapangisha miezi 6 kwa shs 300000 so nyumba 12 ×300000= 3600000× 2= 7200000 mmmh kwa mwaka naingiza m 7200000 mmmmh okey
 
Back
Top Bottom