Nay wa Mitego na wimbo wake 'Mkuu ndugu yangu'

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wazee wa jamvi huyu msanii wetu pendwa hapa bongo katoa nyimbo ambayo ukiisikiliza hovyo unaweza hisi anatukana

Yaani kawapiga chenga BASATA wakijua kabisa anatukana ila pakumshikia sidhani kama wataweza...?

Ila huyu broo bado nahisi akili zake zinaumana na Misumari ya BASATA

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sikiliza kwanza huu kisha urudi...
 
Bangi tupu zikifungiwa wanaanza kuwalalamikia BASATA nyimbo za hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom