Nay wa mitego aongea kuhusu picha za utupu za Ben Pol

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Moja ya picha zilizopata comments nyingi Instagram siku mbili hizi ni picha za mwimbaji wa RNB Tanzania Ben Pol ambazo zilimuonyesha akiwa hajavaa nguo. Nay Wa Mitego aongelea swala hilo.
 
Nay amehajua shida ya
Huyu dogo sasa

Hatak kutenda dhambi
Yamkipgia promo

Ben paul ushoga na marufuku
Tz
 
Halafu wa tz bana

Utupu wenyewe upo wapi hapo

Yaani hata mstari wa ikweta tu hauonekani...nimesumbuka kukodoa macho bure
 
Back
Top Bottom