Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 503
Kuna hekima kubwa ya kuishia nje wakati mkeo ana muona daktari. Au mkeo kubaki nje wakati unamuona dacktari. hii ni kwasababu uchunguzi mwingine nadhani haufai mkawa wote. Kwamfano, kipimo cha Apendix, ambapo daktari huvaa gloves na kuingiza Vidole sehemu ya haja Kubwa....! ama vipiomo vingine ambapo dactari anaweza shika nyeti za mtu.