Naweze kumsindikiza mke wangu hospitali lakini kwa daktari anaingia mwenyewe.

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
Kuna hekima kubwa ya kuishia nje wakati mkeo ana muona daktari. Au mkeo kubaki nje wakati unamuona dacktari. hii ni kwasababu uchunguzi mwingine nadhani haufai mkawa wote. Kwamfano, kipimo cha Apendix, ambapo daktari huvaa gloves na kuingiza Vidole sehemu ya haja Kubwa....! ama vipiomo vingine ambapo dactari anaweza shika nyeti za mtu.
 
Ah mie mumewangu mbishi hata kama kwenye pazia ntaingia mie na dr na nurse lakini yeye chumbani ataingi na humuelezi
kitu na atataka ayajue mwanzo mpaka mwisho..
 
Inahitaji guts sio siri,kuna kipimo cha njia wakati wa ujauzito dah yani unamkuta jamaa yuko busy katumbukiza vidole huko mahala halafu ame concentrate anafumbafumba na macho kama vile anatafuta kitu flani huko
 
Kuna hekima kubwa ya kuishia nje wakati mkeo ana muona daktari. Au mkeo kubaki nje wakati unamuona dacktari. hii ni kwasababu uchunguzi mwingine nadhani haufai mkawa wote. Kwamfano, kipimo cha Apendix, ambapo daktari huvaa gloves na kuingiza Vidole sehemu ya haja Kubwa....! ama vipiomo vingine ambapo dactari anaweza shika nyeti za mtu.

Dunia ni yako na chaguo ni lako,binafsi sioni tatizo kama utaingia kwa daktari na mwenzi wako kuliko kubaki nje unang'ang'aa macho tu,nenda ukajue ni kitu gani kinaendelea ndugu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dunia ni yako na chaguo ni lako,binafsi sioni tatizo kama utaingia kwa daktari na mwenzi wako kuliko kubaki nje unang'ang'aa macho tu,nenda ukajue ni kitu gani kinaendelea ndugu!!!!!!!!!!!!!!!
kwahiyo wakimtia vidole huko... we unasaidia kupanua miguu!
 
mie mke wangu alipojifungua nilikwepo hadi anajifungua.km ni malaria sijui tumbo aingie tu! Lkn km ni issue ni kubwa ntaingia.
 
Ugonjwa wa mke wangu ni wangu. Kwa hiyo nitaingia hata ICU kama nitaona inafaa

You sound more spiritual mkuu,ni kweli wewe na mkeo ni kitu kimoja(figure of speech) lakini kimatibabu, u_siri utabaki pale pale kati ya mgonjwa(mke/mme) na daktari..ila iwapo mgonjwa akiamua ku_disclose habari ya ugonjwa wake haina tatizo...so till then haitawezekana.
 
Dokta wengine washenzi
ukiingia na mkeo anakwambia toka nje
na kabla hujatoka anamwambia mkeo panda kitandani vua na hizo nguo
kukuumiza roho lol

That is too harsh mkuu, anyway...anapokwambia utoke nje ampime ni maadili ya kazi tu, tofauti na sababu binafsi(esp. personal conflicts) sidhani kama kuna daktari anayefanya hivyo kwa lengo la "kukuumiza wewe"..jiulize, "awaumize wangapi? kwa lengo gani? je, wagonjwa wengine huwa hawapimwi hivyo? Kama ilikuwa kosa kupimwa, ulipojaribu kushtaki kuwa mkeo(mfano) amefanyiwa jamvo lililostahili hakuchukuliwa hatua?

Nadhani, ni uvumilivu(subira) tu ndio unaotakiwa, lakini hakuna "agenda" ya siri, mkuu.
 
Sasa ulienda hospital kufanya nini? Baki nyumbani akirudi atakufahamisha yaliyojiri
 
Afadhali ma dokta waliokwenda age kidogo but hawa serengeti boys dah wakorofi sana:israel:

Lakini wanawake wengi wanapenda ma dokta wa kiume wawachunguze na kuwavua nguo
kuliko ma dokta wa kike..sijui why...
 
Lakini wanawake wengi wanapenda ma dokta wa kiume wawachunguze na kuwavua nguo
kuliko ma dokta wa kike..sijui why...
Wanawake wana Element ya kutopendana tu, angalia hata kwenye chaguzi mara nyingi wapiga kura wengi ni Wanawake lakini mpaka Mwanamke akipenya basi ujuwe anakubalika kweli na siyo kwa sababu ya Uanamke wake. hawa ni viumbe wa ajabu kabisa kuwahi kutokea hapa Duniani.
 
Lakini wanawake wengi wanapenda ma dokta wa kiume wawachunguze na kuwavua nguo
kuliko ma dokta wa kike..sijui why...

The Boss wewe ikiwa uchunguzwe nyeti au kipimo cha kidole njia ya haja kubwa utapenda nani...daktari mwanaume au mwanamke?

Hii issue ni sensitive lakini maadili na taratibu za kidaktari (medical ethics, medical legal) zinasema kabisa kuwa, kwa mke na mume...anaruhusiwa kubaki akisimamia daktari anavyomchunguza mwenza wake, ili mradi iwe ni faragha. Tena kwa opposite sex (yaani daktari mwanume akichunguza mwanamke...au daktari mwanamke akichunguza mwanaume) inashauriwa mwenza abaki, na kama hasipoweza kubaki lazima aitwe 'third paerson' ambaye sex yake ni sawa na mgonjwa (yaani aitwe nesi wa kike kama daktari wa kiume anamchunguza mgonjwa wa kike and vice versa).. Hii imesaidia sana kama ushahidi kwenye kesi ambazo wanawake walilalamika kufanyiwa sexual assault/rape na madaktari wa kiume.
 
Mimi hata kunyolewa i prefer mwanamke lol

taratibu na kanini hazifuatwi bongo
 
Lakini wanawake wengi wanapenda ma dokta wa kiume wawachunguze na kuwavua nguo
kuliko ma dokta wa kike..sijui why...
for sure mimi si mmoja wa hao....
yaani nitatibiwa na dr mwanaume kama hakuna mwanamke anayeweza kunitibu, na haijawahi kutokea.
mpaka sasa ugonjwa niliotibiwa na dr mwanaume ni meno tu, sijapata bahati ya kukutana na dakitari wa meno mwanamke kila ninakoenda, lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom