Nawezaje toa habari(kama ilivyo na si link) fb nika share hapa Jf

AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE...

Umeenda sehemu ukaagiza chips yai, mfukoni una buku mbili tu, wakati unaanza kula pembeni chini unaona buku mbili ina zagazagaa tu... Kimtindo ukaikanyaga halafu ukaagiza na kuku robo... Umemaliza kula unaenda kulipa... Duuh... Kumbe ile buku mbili uliyoiokota ni yako.. Ilianguka...

Hatari sana...


Nilikuwa najalibu nimeweza, kama hiyo story nimetoa fb
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom