NAWEZAJE PATA TENDER AU KAZI kwenye kampuni hii?

morogorokwetu

Member
Mar 25, 2013
19
3
HABARI YENU WANA JF! NATUMAIN UWAZIMA

Msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na Land Survey, GIS , Land Evaluation pamoja na QUANTITY SURVEY,
THE NAWEZAJE NIKAPATA KAZI AU TENDA KATIKA KATITA Vitengo hivi?
Asanten sana

:deadhorse::deadhorse:
 
habari yenu wana jf! Natumain uwazima

msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na land survey, gis , land evaluation pamoja na quantity survey,
the nawezaje nikapata kazi au tenda katika katita vitengo hivi?
Asanten sana

:deadhorse::deadhorse:
mkuu unauliza kazi kwenye vitengo hivyo mbona zipo kibao kwani haupo nhini mkuu??
 
sasa mbona hueleweki,unatafuta kazi kwenye kampuni zina zodeal na hivyovitu au unatafuta kazi za namna hyo kwenye makampuni?
 
sasa mbona hueleweki,unatafuta kazi kwenye kampuni zina zodeal na hivyovitu au unatafuta kazi za namna hyo kwenye makampuni?

nimefungua kampuni inayo deal na vitu hivyo.... je tenda na kazi kwa ajili ya fani hizi zinapatikanaje KIHENGE ? NAFIKILI NIMEELEWEKA CAN WE MAKE CONSERVATION Privately if possible
 
nimefungua kampuni inayo deal na vitu hivyo.... je tenda na kazi kwa ajili ya fani hizi zinapatikanaje KIHENGE ? NAFIKILI NIMEELEWEKA CAN WE MAKE CONSERVATION Privately if possible

Mkuu nijuavyo mimi kwa kuanzia na QS kwani ndo niliyonayo
Kuna qs as consultant ambayo inahitaji registered QS kwenye kufungua kampuni, but kwa sasa maqs wapo wengi sana wanafanya kazi na macontractors.
 
HABARI YENU WANA JF! NATUMAIN UWAZIMA

Msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na Land Survey, GIS , Land Evaluation pamoja na QUANTITY SURVEY,
THE NAWEZAJE NIKAPATA KAZI AU TENDA KATIKA KATITA Vitengo hivi?
Asanten sana

:deadhorse::deadhorse:

Kama unataka kujua kama utapata kazi ongea na wanaofanya hizo kazi, kuna jamaa wa ARDHI PLAN wanapiga tu pesa wana miradi kibao Tanzania na kazi za kuajiriwa walishazikimbia, search google ardhiplan uingie kwenye web yao utapata contacts wanaweza kukufundisha kazi kama unataka!
 
Back
Top Bottom