Nawezaje kuzuia file zenye extension fulani zisisaviwe kwenye folder fulan in window 10

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau!!!

Naomben mnisaidie hii issue nimekaa chin nimefikiria nikaona hii mbinu yaweza juna bora zaid ili kumanage mafile ktk pc sasa shida ni kuimplement .

Shida yangu ni moja tu nataka niweke setting ambazo zitarestrict mafile yenye extension fulan yasiweze kusaviwa kwenye folder fulani.

Mfano kwrnye folder ya pictures hapa naset sheria kuwa file za extension za jpg jpeg .icn etc mafile ya extension hzo tu ndio yaingie humo mengine yakataliwe mfano mp4 hili ni file la video folder io ilikatae na hvo hvp kwa foldet ya video naset extension mp4 flv etc yaseviwe humo mafaili mengine yakataliwe.

Nawasilisha
 
Weka setting kwenye browser ili uweze kuamua file linaenda folder ipi wakati unadownload
 
Weka setting kwenye browser ili uweze kuamua file linaenda folder ipi wakati unadownload
Mm sitaki io mm nataka kwa computer nzoma mfano mtu akija akotaka kusave music kwenue my documenys ashindwe
 
Option ambayo ningeifikiria kwanza, ni kutengeneza script na kuiweka kwenye startup. Script hiyo itakuwa ina delete all files with certain extension kutoka kwenye folder fulani kila unapowasha computer.
 
Wazo lako zuri sn lkn mm nataka niweke restriction yaan iwe mtu ukiingia tu kwenue my document ukitaka kusave music cjui video au mafole mengine au i create mafile mengine yaan iwe unacteaye.transfer cjui save unapigwa ban apo apo kwamba you can not save file like these to this folder
 
Back
Top Bottom