Nawezaje kuweka Database yangu Online

Junior_94

Member
Mar 20, 2021
6
8
Ni jinsi gani naweza kuweka database yangu online ili kila mtu mwenye credentials aweze ku-access na ku-retrieve data
 
Unatumia database gani?

Kama ni mysql database itabidi ufanye hosting au utengeneze server yako.
 
"Database yako online"
Unaweza kufafanua kidogo?

Maana Database systems huwa pre installed kwenye web servers husika iwe producttion server au development server
So kwa uzoefu wangu nafikiri una maanisha ni jinsi gani unaweza kuiweka "Web application" yako online ili "authenticated au authorized users" waweze ku access records zitakazo kuwa "rendered" na web application yako

Nahisi pia, kwa sasa upo kwenye local environment na unataka namna ambayo web app yako iwe public

Unahitaji Web hosting managers,hawa watakupa domain na space kwenye web hosting yao ambayo unaweza ku deploy application yako pale na ikawa live to public internet kulingana na Tech stack ulizotumia

I hope that will help

Kama sivyo nilivyo assume, basi hongera kwa ku develop Database system yako........Nenda Github ushee na dunia
 
Thnx exactly its wat i mean...lkn jinsi ya kufkisha au kuuliza swali huenda halikueleweka au sikuuliza ipasavyo..shukran
 
1. Fanya hosting (kama vile webhosting)

Au

2. Tengeneza web server yako mwenyewe

Au
3. Share hiyo computer yenye application halafu users wawe wanaingia moja kwa moja remotely kwa Telnet kupitia vpn.
 
Kwa gharama nafuu za hosting tucheck 0687 535650 au tembelea www. pawahost. co .tz
 
Back
Top Bottom