Ni jinsi gani naweza kuweka database yangu online ili kila mtu mwenye credentials aweze ku-access na ku-retrieve data
Pay -> host-> then create your script, please don't use free hosting if you want any one with password and other information to access your dbNi jinsi gani naweza kuweka database yangu online ili kila mtu mwenye credentials aweze ku-access na ku-retrieve data
Thnx exactly its wat i mean...lkn jinsi ya kufkisha au kuuliza swali huenda halikueleweka au sikuuliza ipasavyo..shukran"Database yako online"
Unaweza kufafanua kidogo?
Maana Database systems huwa pre installed kwenye web servers husika iwe producttion server au development server
So kwa uzoefu wangu nafikiri una maanisha ni jinsi gani unaweza kuiweka "Web application" yako online ili "authenticated au authorized users" waweze ku access records zitakazo kuwa "rendered" na web application yako
Nahisi pia, kwa sasa upo kwenye local environment na unataka namna ambayo web app yako iwe public
Unahitaji Web hosting managers,hawa watakupa domain na space kwenye web hosting yao ambayo unaweza ku deploy application yako pale na ikawa live to public internet kulingana na Tech stack ulizotumia
I hope that will help
Kama sivyo nilivyo assume, basi hongera kwa ku develop Database system yako........Nenda Github ushee na dunia
Mysql
Wapi?Ivi MongoDB ipo ?