Nawezaje kuwa wakala wa kampuni ya simu katika kusajili watu kwa alama za vidole?

Ailars David

Senior Member
Jul 6, 2017
128
35
Kutokana na kauli ya kuwa kufikia December kila mwenye line ya simu anatakiwa awe amejisajili kwa fingerprints
Sasa mimi naiona hii kama fursa nzuri

Naomben msaada wenu namna gani nitaweza kuwa wakala wa kuwasajili watu any line company pls
 
Kutoka na kaul ya kuwa kufikia December kila mwenye line ya simu anatakiwa awe amejisajili kwa fingerprints
Sasa mm naiona hii Kama fursa nzuri
Naomben msaada wenu namna gani ntaweza kuwa wakala WA kuwasajili watu any line company pls
Unatakiwa kwanza kabisa uwe freelancer wa mtandao husika. Hapo inabidi umtafute team leader ili akuunganishe then procedures nyingine zitaendelea.
 
Kutoka na kaul ya kuwa kufikia December kila mwenye line ya simu anatakiwa awe amejisajili kwa fingerprints
Sasa mm naiona hii Kama fursa nzuri
Naomben msaada wenu namna gani ntaweza kuwa wakala WA kuwasajili watu any line company pls
Hivi hii inaweza kuwa na gharama gani mkuu?
 
Kutokana na kauli ya kuwa kufikia December kila mwenye line ya simu anatakiwa awe amejisajili kwa fingerprints
Sasa mimi naiona hii kama fursa nzuri

Naomben msaada wenu namna gani nitaweza kuwa wakala wa kuwasajili watu any line company pls
Hakuna Teamleder makampun ya sim yanatoa tenda kwa makampun kufanya usajili
 
Ni lazma uwe na namba ya nida,barua ya utamburisho kutoka kwa kiongozi wa mtaa wako,picha 2,copy ya kitamburisho,

Pia utajaza mkataba kwenye kampuni husika ili kukubaliana na vigezo na masharti,

kila mteja utakae mkamilishia kwa kampuni kama Voda,tigo utapata tsh 300 hapo hapo chap kidogo,
Halotel tsh 400,
Utapatiwa taratibu zote za kazi na kiongozi wenu yani team leader(TL)
 
Vip kwa TTCL
 
Kazi zenyewe Ndo Kama hivi wakuu
IMG-20191001-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom