Nawezaje kutumia mabadiliko ya tabia nchi (Global climate change) kujipatia pesa?

Magnificient

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,133
2,000
Natumai mu wazima ndugu zangu wote wa jf! Kwa siku kadhaa nimekuwa nikisikia kutoka vyombo mbalimbali vya habari especially internet kwamba kuna fursa ya kupiga pesa kupitia global climate change, na nikaona hadi kuna funds kibao zipo kwa ajili ya kufadhili fursa hii. Nimevutiwa na hii fursa na nadhani itatufaa wengi, ila sijajua tu unafanya nini na unafanyaje ili kujizalishia kipato kwa njia hii? Nawasilisha, kama kuna yeyote anayefahamu au kujua vizuri namuomba atujuze.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom