Nunua tv box ni kati ya laki mpaka laki 2Habari Jf
Naomba msaada wenu wa namna ya kutumia desk top computer aina ya hp compaq dc 78000 kama Tv
Nina kingamuzi cha Azam hivyo nahitaji muongozo wenu nini nifanye na kipi kinahitajika niweze fanikisha issue hii
Nawasilisha
AiseeeNunua tv box ni kati ya laki mpaka laki 2
Sasa hiyo laki mbili sii anapata flat screen TV tena kazuri tuu.Nunua tv box ni kati ya laki mpaka laki 2
Vipi mkuu bado unagugo tuNgoja nigugo kwanza
UKITAKA KIZURI LAZIMA UDHURIKEAiseee
Kwa usawa huu wa Magu bei kali sana iyo
Mkuu Kwa bei hiyo bora nikatafute tv ndogo tuUKITAKA KIZURI LAZIMA UDHURIKE
SASA KUMBE UNA URAHISIMkuu Kwa bei hiyo bora nikatafute tv ndogo tu
Maana nilijua hii itasaidia kupunguza gharama kumbe ndio zaidi
Habari Jf
Naomba msaada wenu wa namna ya kutumia desk top computer aina ya hp compaq dc 78000 kama Tv
Nina kingamuzi cha Azam hivyo nahitaji muongozo wenu nini nifanye na kipi kinahitajika niweze fanikisha issue hii
Nawasilisha
Aiseee
Kwa usawa huu wa Magu bei kali sana iyo
Nilichofanya ni kujibu swali sio kutangaza biasharaSasa hiyo laki mbili sii anapata flat screen TV tena kazuri tuu.
Asante sana mkuu 45000 itanifaa hakikaKama upo dar nenda k.koo chukua TV box yako kama huna hela chukua hizo nazokwambia ila kama unatka mbwembwe kanunue ulizoambiwa na mshana...ila kwa kua maisha yako ndo haya haya chukua cha 45,000 kinaenda mpk 60,000
sijajua mkuu..maana ya mshana naionaga ila naipita kama sijaiona so natumiaga hizo za bei nlokutajia mkuu...Labda ni ubora japo sijui kwakweli tofauti yake kubwa n nini maana kama ni kazi nayoitaka hii ya 45 inafanya tena vizuri tuuu.Asante sana mkuu 45000 itanifaa hakika
Hivi tofauti yake ni hizo za Mshana nini zaidi
Asante mkuuunaweza nunua USB AV grabber, ina matundu ya A/V ambayo utachomeka cable za picha na sauti kutoka kwenye kingamuzi,,
then unaweza kuangalia tv kupitia vlc,au application yoyote ile unayoipenda.......
bei ni 10-20k