Nawezaje kutumia Application ya CamScanner na WPS for free

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo

Kwenye hizo applications tajwa hapo juu kuna baadhi ya features huwezi kutumia mpaka uwe umelipa.

Sasa kwa mwenye ufahamu nawezaje kutumia hizo applications katika features zote for free?
 
Kwanini ujitese. Tumia Office. Features kma kuscan documents to pdf, kusign pdf, word to pdf na pdf to word ni bure kabisa na inafanya vyote vivyafanywa na WPS. Mmi nishaacha na WPS mda mrefu tu

Link: Microsoft Office: Word, Excel, PowerPoint & More - Apps on Google Play
Screenshot_20210124-113859.jpg
 
Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo
Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo

Kwenye hizo applications tajwa hapo juu kuna baadhi ya features huwezi kutumia mpaka uwe umelipa.

Sasa kwa mwenye ufahamu nawezaje kutumia hizo applications katika features zote for free?
Programu ya CamScanner ina toleo lililosasishwa na TechBigs, inaitwa "CamScanner mod apk" nayo unaweza kufungua huduma zote bure kwa bure.
 
Back
Top Bottom