Nawezaje kutuma meseji kwa kutumia excel?

Formatting ya text a inawakilisha herufi,1ni number Na & Ni special characters.
Kama utatumia vyote hapo nlipoweka "a" utaweka "a,1,&"
Asante sana. Kama nataka kuwatumia watu wengi(namba tofauti ) inakuwaje? Kuna merging yoyote ya kufanya? Na hiyo sms itakwenda kwa app au program gani ya kuunga PC na simu, kama ni tofauti?
Asante kwa darasa murua.
 
Naomba wataalam mnijuzi namna ya kutuma meseji kwa program ya excel.
Asante
Kama sijakuelewa vibaya unataka kutuma bulk sms kwenda kwa watu wengi kwa kutumia ms excell.
Kama ni hivyo zipo njia nyingi lakini rahisi kwangu fanya hivi.
Fungua ms excel.
Column ya kwanza andika namba za simu.
Column ya pili andika ujumbe unaotaka.
Hakikikisha format cell kuwa text.

Then ingia playstore downdoad app inaitwa SA group text lite
Ukisha install ingia kwenye setting ya hiyo app kisha download plugins kulingana na idad ya sms unazotaka kutuma. Plugin 1 inawezesha kutuma sms 100 kwa saa. Hiyo kama unataka kutuma sms 1000 saa utahitajika kudownloa plugin 10.
Baada ya hapo nenda kwenye setting ya simu kisha apps halafu tafuta hiyo app ya Sa group text then ipe permision kutuma sms. Kisha hizo plagin utaziona uzipe permision kutuma sms.
Baada ya hapo rud kwenye app yako ifungua na kisha import excel file ambayo ulishaandaa mwanzo kisha send.
Zingatia hii app ni lite version hivyo inasaport kutuma sms 1000 pekee. Ila ukishatuma unaweza kwenda kwenye setting uka clear data halafu itareset na kukuwezesha kutuma sms zingine 1000. Zikiisha unarudia tena na tena.
Nmeambatanisha picha kwa marejeleo
IMG_20210717_203938.jpg
IMG_20210717_203457.jpg
IMG_20210717_204048.jpg
 
Back
Top Bottom